Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Serious!this rubbish u want to compare with that amazing avenue!
 
Some people here giving excuses for their poor education. Do you even know UoN has surpassed makerere university to be the best in East and central Africa? There are majority of Africans studying in Kenyan universities
Hahaha so what?there are some inter stud in our various universities not only at UDSM, MUHIMBILI like yours
Give me one reason why a Tanzanian stud should come to UoN and not UDSM
 
Hata nyinyi hamjui kiswahili. Mnajua kukiongea tu lakini kukiandika mko
Zeeeeeeeerooooooooooooooo
Yaani mkenya nae anatamba kukifaham kiswahili haya ni maajabu,yuko jamaa mmoja anaitwa MK254 yeye pekee yake humu ndio anajua kuandika kiswahili na alisema kabisa ameweza baada ya kuzuru Tz mara kadhaa. ..Uliza wenzio kiswahili wamejifunzia hapa!!shule zenu sijui huwafunza kikamba na kiluo hata sielewi
 
Shule za Kenya hufunza kiswahili sanifu. Wakenya wameharibu kiswahili. Aghalabu wengi wao huzungumza sheng' isipokuwa Mombasa. Shuleni huwezi andika sheng' .Kama ni insha utapata 02/50.kuongeaunaruhusiwa lakini kuandika huo upuuzi hapana
Nisaidie hapa sheng ni kitu gani hasa
 
Njoo Kenya utembelee UoN. It has no competitor in east Africa
Makerere follows suit.
Hata mtz akitaka kusoma hapa EAC lazima ataopt makerere sio UoN hakuna mtu anaijua,Yaani sana sana mtu amlete mwanae asome uko primary school sio chuo kikuu
 
Nisaidie hapa sheng ni kitu gani hasa
Ni lugha ambayo huzungumzwa na vijana wa Nairobi. Natumai itafifia hapa Kenya kwa sababu siipendi. Nakumbuka tukiwa shule ya msingi tulikuwa tunafunzwa kiswahili fasaha.Sasa hata nilisahau kiswahili maanake watu ninaotangamana nao wanaongea sheng' kwa hivyo sina budi kuongea hii lugha. Aghalabu mie huzungumza lugha ya mama.
Sheng ni broken Swahili .English, Swahili, vernacular words zinachanganywa. Ni lugha ya vijana mtaani. Nadhani unaifahamu isimu jamii
 
Hyo kitu umeregelea sijui mara ya ngapi sai...na wakati un wanajuwa nynyi ni maskini kutuliko...mambo mengine...mara kibera, turkana...si mtafute vitu vyengine vya kuipondea kenya...kisha eti ukabila...na wakati hapa jf wakenya wote si wa kabila moja...just go and wipe your tears bro...mi napenda watu wenye wanaargue bila emotions
 
Ok...what about mombasa vs dodoma+mwanza+arusha+morogoro+mbeya+iringa and others
Kisu kigonga mfupa. Sasa tuanze tuoneshe BRT kutoka katika counties zote za Kenya.
 
Tanzania mpka kura za kenya mnazifuatilia...ama hapo nimekuongopea
 
Wehu hawa! Kutwa wanabonga mastory za. Tz! Huko Churchil show sijui na mavipindi zao kwa Tz na Radios! Kwa ujumla Mkenya atapata taabu sana kuishi bila MTz ila MTz haezi pata taabu kuishi bila MKe hata!
Mmmmm!!nakwambia..tena narudia...msanii wa bongo bila kenya...atapata tabu sana
 
Sie tunasoma ordinary level sec school hyo, high school wanasoma deep zaidi

Elimu ya sekondari uku imegawanyika mara 2 ,kuna ordinary level & Advanced level ndio maana uku secondary kama kichwa kizima unasoma miaka 6
Tuusan...naskia tz elimu ni km bongo movie vile...ina part1 na 2...
Primary mnatumia swa en high school mnatumia kingereza..nilicheka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…