LoyalTzCitizen
JF-Expert Member
- Sep 15, 2010
- 2,323
- 1,088
Your contemptuous behaviours against Dar and Tz as a whole, and over exaggeration about your Nairobi n Ke, has always been disgusting us! You lot still have the stone aged myths!You are the jokers here. Why are you dissing Nairobi like this?
Wehu hawa! Kutwa wanabonga mastory za. Tz! Huko Churchil show sijui na mavipindi zao kwa Tz na Radios! Kwa ujumla Mkenya atapata taabu sana kuishi bila MTz ila MTz haezi pata taabu kuishi bila MKe hata!halafu utasikia wakenya wachache vilaza hapa jf wakisema wakenya hawafatilii masuala ya tanzania... media za kenya haziandiki yanayoendelea tanzania and blablabla.
mwanamziki mchanga wa mziki wa gospel goodluck gozbert ambaye alianza kuvuma late last year kaandikiwa makala page nzima na gazeti la kenya. hakika mziki wa tanzania hauna mpinzani kenya.
sijawahi kuona msanii wa kenya akiandikwa page nzima na magazine za tanzania. ruksa kutoa povu.
[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
View attachment 888238View attachment 888239
Dar es salaam avenue ndani ya germany,wazee wa kibera mkiona vitu kama hivi mnapata tabu sanaHata Nairobi si ya kufananisha na vitu vya kipumbavu
hahahha.....[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Dar es salaam avenue ndani ya germany,wazee wa kibera mkiona vitu kama hivi mnapata tabu sanaView attachment 888260
Vitu za class 6 huko kwenu mnafunzwa high school.This road Reminds me abt ox-bow lake physical geography tulisoma form 3 o-level back then...shape iyo ilivyokaa
I love gozbert songs. No kidding. That boy is talented.Wehu hawa! Kutwa wanabonga mastory za. Tz! Huko Churchil show sijui na mavipindi zao kwa Tz na Radios! Kwa ujumla Mkenya atapata taabu sana kuishi bila MTz ila MTz haezi pata taabu kuishi bila MKe hata!
Sasa unaringa na vitu za Germany? Wabongolala kweli ni bongolala.Dar es salaam avenue ndani ya germany,wazee wa kibera mkiona vitu kama hivi mnapata tabu sanaView attachment 888260
Sie tunasoma ordinary level sec school hyo, high school wanasoma deep zaidiVitu za class 6 huko kwenu mnafunzwa high school.
Aiii
Unaipata ile nyimbo yake hauwezi kushindana na mwanadamu mwenye kinywa? Hivi mnaelewa kiswahili lakini sawasawaI love gozbert songs. No kidding. That boy is talented.
I don't think soSo yours is 2-7-6-2system
Kenya ni 8-4-4 .I heard they are going to change it though. Iwe kama ilivyokuwa zamani I guess
Dar is all a slum...all of it dude aerial photos prove thatRubbish! And deep inside you probably know that you are writing a crappy comment like this to lure your fellow poor nyangaus with no idea or totally confused of what Dar is made up of.
stupid backstreet analysis......zain africa challenge ni university za nigeria na kenya ndio zilikuwa zinawin......and in tanzania a person like Prof.P.L.O Lumumba is idolized but in kenya he is a laughing stock of a low grade lawyerelimu ya kenya imejikita zaidi katika kumuandaa mwanafunzi awe na confidence ya kuzungumza kingereza, haijajikita katika kumfanya mwanafunzi awe knowledgeable katika fani mbalimbali za kitaaluma.
ndio maana baadhi ya wakenya waliojariwa tz wanafanya kazi katika vitengo vya mawasiliano, marketing, ualimu wa somo la kingereza na public relation. kwasababu kiasili anayefanya kazi za namna hiyo anatakiwa kuwa mtu wa kuzungumza sana kuliko kutenda pia anatakiwa angalau ajue kuzungumza kingereza.
ila wakenya wa tanzania hawathubutu kuomba kazi katika idara za kiufundi (technical and practical base positions),huko wengi wapo zero. na wanaobahatika kupata ajira katika eneo hili huwa wana underperform na baadaye huachishwa kazi. nina ushahidi katika hili.
maeneo hayo yote tunasimama wenyewe watanzania na waajiri wanalijua hilo vizuri sana.
hii ni fact so anayetaka kutoa povu na atoe tu, ruksa.
Bwahahahaha, your poor wishes. Jua Dunia nzima inajua kuwa Nairobi is a slum city, who can you fool that cheaply?Dar is all a slum...all of it dude aerial photos prove that
Sasa unaringa na vitu za Germany? Wabongolala kweli ni bongolala.
Anyway, the first photo is of City of Nairobi Park in Denver and the second photo is of city of Nairobi Park in Clayton US. There are so many places named after Kenyan things around the world but it's no big deal.
View attachment 888272
View attachment 888273
Kenya this Kenya that wooo, my fren Kenya ed is nothing serious bana,try something else,mmeweza kulima chai na miraa kudosstupid backstreet analysis......zain africa challenge ni university za nigeria na kenya ndio zilikuwa zinawin......and in tanzania a person like Prof.P.L.O Lumumba is idolized but in kenya he is a laughing stock of a low grade lawyer
Hapana wakenya wengi kisw hamjui tafuta mwingine ukamdanganye!!Acha kutudharau wewe. Tunakielewa kiswahili kuliko vile nyie mnakielewa kimombo. Ni wasanii wengi wa injili mie hutazama/kuskiza.Napendanyimbo za injili kwa ujumla.
Hata radio station za tz sinasection ya top 10 USA songsNa mbona nyimbo zenu zimejaa Kenya ziksikzwa?