Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar inazidi kuwa sehemu nzuri ya kuishi. Kituo cha Afya cha chanika

 
Hii ndio underpass hautawai iona maisha yako yote unless ukam nai
Kwikwikwi hiyo underpass au handaki. Ndiyo unajisifia hicho. Nimekuuliza nyie mpo na Daraja tamu kama la Nyerere Bridge Kigamboni!!?
Kwikwikwikwi. Nyie mnasehemu za Starehe kama Dar.
Nyie mnaweza ku part kama tunavyofanya Dar!!?
Check hii video kisha urudi shimoni kama panya
 
While your government is using tax payers money on towers...super towers in Nairobi,Mombasa and Eldoret are privately owned.
Our government is concentrating in infrastructure instead... this is outering super highway 80% done....
 
izo mambo zetu mkuu wao wanadandia tu....aisee sikosagi nyama choma ila mwaka jana ndyo nimemiss ni balaa watoto wazuri wote pale kati hawakosi...ni balaa tatizo huyu anayetuonyesha mabarabara ni kijana mzee....mi namshauri ushauri mzuri tu awe mchungaji huku hapawezi
 
Falai bridge ziko Mombasa na kwale...unaona ukianza kulemewa unaleta ujinga nikikuambia sai mko na national park utasema nini
 
Falai bridge ziko Mombasa na kwale...unaona ukianza kulemewa unaleta ujinga nikikuambia sai mko na national park utasema nini
Sema na sisi tutasema vitu kibao. Utasema National park sisi tupo na Game reserve na Zoo kibao.
Hapa nakuambia dogo utasanda. Wewe bado ni mshamba sana



 
Falai bridge ziko Mombasa na kwale...unaona ukianza kulemewa unaleta ujinga nikikuambia sai mko na national park utasema nini
Hatutaki matusi ukizidiwa unapiga kimya we vp fly over ndio zakizamani subiri za bongo zikikamilika mwakani alafu utaona za kisasa tena zote tatu kwa wakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…