tena ita modern electric train mbona sifa yake huipi hehehehehehhe and ya pili kwa speed africa and to be the longest in africa as wellππππππππππππZiko, tumeona hizo reli zenu za kuni. TAZARA. Mimi nafurahi mkijenga treni za kisasa. Ni my dream Africa ikuwe developed kuongea ukweli, lakini baadhi yenu naona mnafikiria ni nyinyi pekee mna maendeleo. Na Mkenya akipost kitu kizuri kuhusu Kenya naona post zina machungu sana hapa kutoka kwa waTZ wengine
alafu pia ufahamu na ile ya zamani inarekebishwa na zitafanya kazi zote mbili electric na ile ya zamani so be coolZiko, tumeona hizo reli zenu za kuni. TAZARA. Mimi nafurahi mkijenga treni za kisasa. Ni my dream Africa ikuwe developed kuongea ukweli, lakini baadhi yenu naona mnafikiria ni nyinyi pekee mna maendeleo. Na Mkenya akipost kitu kizuri kuhusu Kenya naona post zina machungu sana hapa kutoka kwa waTZ wengine
daaaaaah hahahahahhahahahππππππππππππππ tazama hapo balaaa hiloSlums in Tanzania
This one might be old, like 4 years old. But it mean the more people go to towns the more the slum dwellers. And it has increased coz I bet more Tanzanians are moving to towns. So kulialia slums Kenya na you face the same challenges ni utoto na ujinga. Kweli nyani haoni kundule
zamani ni narrow gauge ama standard?alafu pia ufahamu na ile ya zamani inarekebishwa na zitafanya kazi zote mbili electric na ile ya zamani so be cool
ππππππππππ simemekimbia humu wapi mulitoka hapa hahahahahhahahahahIchiboy post something about Dar ama ata Nairobi. Wacha kulialia. Yaonyesha huna anything more to post. Unaaibisha Watanzania wenzako wenye higher IQ na lower EQ
ndio zitafanya zote electric na ile ya zamani kila moja na njia yakezamani ni narrow gauge ama standard?
Wewe endelea kulialia. ukichoka utaenda offline. Wacha ntarudi later na more from nairobiππππππππππ simemekimbia humu wapi mulitoka hapa hahahahahhahahahah
tatizo hii kitu baadhi ya wakenya wengi wenzako walishajitengenezea mazingira moyoni yakukashfu na kudharau raia wakitanzani ndyo maana hali imekuwa hivi kwa hiki kipindi ....hebu tujiulize kwanini tanzania isibezane na uganda ama pengine tukiachana na ushindani.....pointi kubwa ni ivi vitu kams ivi baadhi ya wakenya wengi ndyo wameviunda na kufanya hali iwe hivi na hata mwenyewe wajua tabia za raia wengi wa nchi yenu ya kenya.....Ziko, tumeona hizo reli zenu za kuni. TAZARA. Mimi nafurahi mkijenga treni za kisasa. Ni my dream Africa ikuwe developed kuongea ukweli, lakini baadhi yenu naona mnafikiria ni nyinyi pekee mna maendeleo. Na Mkenya akipost kitu kizuri kuhusu Kenya naona post zina machungu sana hapa kutoka kwa waTZ wengine
Wakenya hujibishana na Nigeria sana. Kwa twitter wars kila wakati.tatizo hii kitu baadhi ya wakenya wengi wenzako walishajitengenezea mazingira moyoni yakukashfu na kudharau raia wakitanzani ndyo maana hali imekuwa hivi kwa hiki kipindi ....hebu tujiulize kwanini tanzania isibezane na uganda ama pengine tukiachana na ushindani.....pointi kubwa ni ivi vitu kams ivi baadhi ya wakenya wengi ndyo wameviunda na kufanya hali iwe hivi na hata mwenyewe wajua tabia za raia wengi wa nchi yenu ya kenya.....
mfano ..hamjawahi kujibishana na nigeria nyie kupitia social network nyingine...?..kama jibu hamjawah sawa na kama mmewahi nani ni mkorofi wamajigambo na kwanini isiwe ni tanzania kujibishana na nugeria
ni hayo tu
ππππππππππππ leo hiii baada ya kuona kisu shingoni au unafkiri tumesahau kejeli zenu leoooo miaka 10 iliopita mlikua munatutukana nyie leo kisu shingoni munajifanya wema hakuna wema hapa tutadeal na nyie mpaka kielewekeWould be happy Kenya, Tanzania, Uganda na Ethiopia ziwe kama Spain, France, Italy na Germany. All developed. Sijataja Somalia, hao wana kazi nyingi
iyo iko sawa kiuchumi mmetupita ...yaani kwa thamani ya pesa...kama sisi tulivyowapitaga kipindi cha zamani ila kwa sasa mambo ni kukimbizana kwenda mbele.....ila nachozungumzia ni baadhi ya wakenya wenzako kuchukulia powa TZ so kila kinachotokea nakinachoendelea tokea na bado hii hali itazidi shamihiri miaka yote source ni nyinyi laiti mngekuwa kimya kimya kama waganda ama wengine ingekuwa heshima ipo ila kwa sasa mshaharibuWakenya hujibishana na Nigeria sana. Kwa twitter wars kila wakati.
kuna huu uzi ulianzishwa na Mnigeria pia Kenya Is Ahead of Nigeria In All Aspect (Fact Don't Lie) - Politics - Nigeria
Shida ya Kenya na Tanzania ni Kiswahili. Similar language different countries so inakuwa kama sibling rivalry. Hata kama mimi ni mkenya, Kenya imekuwa na headstart so to be realistic Kenya is slighly more developed that Tanzania. Some Tanzanians are in denial na hili, some Kenyans also see Tanzania kama nchi duni, a very backward countryu which is wrong. So this brings war. vita vya kishenzi
πππππππππππ povuuuuuuuuuuuuuuu wazee wa sifaaaaaaaaaaaaaaaaaWewe endelea kulialia. ukichoka utaenda offline. Wacha ntarudi later na more from nairobi
unachokiongea wewe ni bure nitajie nchi gani duniani yenye middle economy ilishawah tangaza njaaaππππππWakenya hujibishana na Nigeria sana. Kwa twitter wars kila wakati.
kuna huu uzi ulianzishwa na Mnigeria pia Kenya Is Ahead of Nigeria In All Aspect (Fact Don't Lie) - Politics - Nigeria
Shida ya Kenya na Tanzania ni Kiswahili. Similar language different countries so inakuwa kama sibling rivalry. Hata kama mimi ni mkenya, Kenya imekuwa na headstart so to be realistic Kenya is slighly more developed that Tanzania. Some Tanzanians are in denial na hili, some Kenyans also see Tanzania kama nchi duni, a very backward countryu which is wrong. So this brings war. vita vya kishenzi
inasaidia nn maana tanzania wamekuja marais ambao hamujawah hata kuwaskia hahahahhaha lakini hatuoneshi au na sisi tuoneshe sema tuπππππππππππππIn Kenya, its all about business, we are hooking up the gulf states, that is where we are going! The Amir of qatar was in Nairobi
Followed by t a delegation of investors
thumb up to the guy who applied filters into the photos.he makes photos look different like it's not the nairobi we know.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]