Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hahahaha safi sana...dawa ya mtu jeuri ni kumuombea nja... hahahaha haki hawa ndege nimewapenda.....job well done.
View attachment 871577

ndege aina ya kwelea kwelea sio wa mchezo mchezo.
What you wish for your neighbor is always a reflection of your wishes....deal with it!
yeah you are a kind of a JF slay queen
 
Bahati mbaya ninazungumza na mtu mpiga kelele, onyesha ni mtanzania gani wa kawaida anayekuja Kenya kufuata huduma ya public Hospitals za Kenya
Cancer patients cross into TZ for treatment
 
Tanzania: Manufacturing Sector Among Most Successful in Africa
Kabla ya kupost lazima uwe unasoma ili uwe unajua unalosema, Tanzania manufacturing sector inakua kwa 8.5% wakati Kenya ni 4%. Tanzania manufactured goods are much cheaper than Kenyans, that's why your investors prefer to shift their plants to Tanzania, your relative strong currency inhibit export of goods manufactured In Kenya.
 
Tanzania SGR

Source


Dah! Jamaa wananikosha sana hawa, naona wanatumia "Makita Impact Wrench DTW1001" ku funga hizo bolts za reli, hii kitu ina max. torque ya 1,050Nm. Hii (torque) ni zaidi na mara kumi ya ugumu wa kufungua nati za matairi ya magari makubwa.
 
Mm niko kcmc.. Kiukweli wakenya wengi wanakuna pale moshi... Na hili sio kwamba ni kitu cha kushangaza coz watu wa wenu wa mipakan wanapataga shida ya huduma.. Hospital iko nairobi mtu anaona aje kcmc tu
 
Tz imedistribute major refferal hospital zake kwa zones
Muhimbili eastern zone and national
Benjamin mkapa for cental zone
Mbeya refferal for southern zone
Bugando for lake zone
Kcmc and Hydom for northen zone
So watu wa mipakani hawapati shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…