Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Hatimaye inakwenda kuwa official continental language heshima kwa tanzania na watz wote,wewe kaa ukikula githeli na kuongea kiingerea hapo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo umetokwa na cheche kibao sana nchi yoyote ilioshindwa kuleta amani na kuondoa ukabila kwenye nchi yao kaa ujue hakuna maendeleo bali ni failed state
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kama sisi ni faild state? What does that make you kama mko nyuma yetu kwa kila kitu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hatimaye inakwenda kuwa official continental language heshima kwa tanzania na watz wote,wewe kaa ukikula githeli na kuongea kiingerea hapo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Look at this fool. Hio Swahili mnajigamba nayo is Made in Mombasa kenya kaka. Mombasa ndio waswahili Original nyinyi ni fake imitation. Ama babu yako hakukueleza ukitaka kujua kiswahili chenyewe enda mombasa,???
 

Hahaa naona imekuingia,kiswahili ianzie mombasa ije ieneee tz zaidi ya kenya!!!!???cell za kichwa yako zimeungua.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mshapeleka hii ushamba yenyu ya lift kwa reli tena[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
electric train ni ya pekee east africa. tutaishingilia mwezi mzima.lamba lolo. [emoji23][emoji23]
 
Hapana letea sisi ujinga na vile mnaamshana vidude kwa foleni na jasho la uswahilini.
View attachment 871081View attachment 871081
we ni mpumbavu sana. Mtu mzima usiye na akili hata kidogo sasa foleni ndio ubaya gani. Huelewi unachokisema coz hujawahi kuishi miji yenye foleni kwenye treni, nenda tokyo, New york au London asubuhi na mida ya jioni uone foleni ya watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…