Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sio peponi wala
Dogo utazimia na kifafa cha hasira bure,kama unadhani kenya ni peponi,una kaushamba ktk gene zako ambako hakatatoka mpaka mutation ya lazima.
Sio peponi wala sina mpango wa kuzimia ila ungese wa kukataa ukwel ndo xtakag
 
Ulitaka kusema nin labda, kwamba Kenya ni Ulaya au Amerika ama?
Hayo unayosema ni yako lakini mm nmesema at least wana ubavu wa kutupush sie tunajitutumua tuuu,imagine had kupanga miji tumeshindwa ni squatters everywhere had malawi zsmbia na vinchi vidogo dogo vimetushinda aibu hii ujue
 
Hayo unayosema ni yako lakini mm nmesema at least wana ubavu wa kutupush sie tunajitutumua tuuu,imagine had kupanga miji tumeshindwa ni squatters everywhere had malawi zsmbia na vinchi vidogo dogo vimetushinda aibu hii ujue
mi sidhani kama ndugu yangu umeshawahi kufika kenya. Unasema eti miji ya kenya imepangiliwa. ,Miji gani hiyo???? tuambie labda kuna new cities za kenya ambazo hatuzijui
 
Kwanini hampendi kukubali facts[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ama mlikuwa mnataka tuseme Dar is the 6th wealthiest city na unajua tu vuzuri haiwezekani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
haki nilidhani the study was conducted by some institution from a developed country in world.

sikufikiria ni institution ambayo ipo mauritius. [emoji23][emoji23][emoji23]

kanchi kenye gdp ndogo kanazifanyia study nchi zenye gdp kubwa...smh[emoji23][emoji23]
 
Hayo unayosema ni yako lakini mm nmesema at least wana ubavu wa kutupush sie tunajitutumua tuuu,imagine had kupanga miji tumeshindwa ni squatters everywhere had malawi zsmbia na vinchi vidogo dogo vimetushinda aibu hii ujue
Hili wala lisikupe presha mkubwa muda utafika we will build vertical city kwny baadhi ya maeneo wamarekeni wanaita projects tukifanya hiv tutasecure maeneo makubwa tu karibu na CBD hayo yatatumika kwa ajili ya parks,public services na mengine yatauzwa kwa gharama kubwa kwa ajili ya uwekezaji binafsi sasa hiv ni miundo mbinu kwanza ndo msingi kukaa kwny hayo maghorofa ya kufanana tope kila mahali bado ni umaskini tu yasikutishe wanaojiweza hukaa nje ya mji wakimiliki ekari na ekari hiyo mpk ulaya iko hivyo!!!
 
nakupa mfano kdg tu hiv unajua palipojengwa Terminal 3 pale airport kulikuwa hovyo hovyo tu familia na familia ziliishi pale leo hii ni historia!!! Kuna modern terminal building!!! Kuna watu walibisha kbs haiwezekani watu wa kipawa kuhamishwa ni ndoto ila leo tunaongea stori ingine kbs!!!
 
KUHUSU MEDIA ZA BONGO KUPENYA EAST AFRICA ILIANZA ZAMANI

EAST AFRICA RADIO IMEANZA KUSIKILIZWA KAM[PALA , NAIROBI TANGU MIAKA YA 2000... EAST AFRICA TV NAYO IKO KILA MAHALI UKANDA HUU

TENA VIPO VIPINDI MAALAUM VINAVYOHUSU NCHI HIZO MBILI
 
I know of a company that imports avocados from tz and exports them to europe as Kenyan products..nyinyi tumewakalia sana
mtajua hamjui.
where are those kenyan companies that were processing/exporting our tanzanite to western, asian, middle eastern countries? [emoji23][emoji23]
 
Can you check the per capita and get ashaned of yourself
 
Hehe Qatar inatua int airports zote bongo.. Imeanza kuja toka 2012 sijui 2013 badala uskitike qatar inashuka nairobi na mombasa wakati Kq ingeweza kwenda direct msa doha we unafurahi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…