[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwanza kabisa, The west gate case was so delicate. Shida yenyu nyinyi watanzania nikudhania wakenya ni Wakikuyu na Wajaluo tu. Je unajua wasomali pia wako miongoni mwa makabila mbali mbali za kenya?? Itakuwa ni ngumu kuingia kwa mall full of Somalis,Indians & whites who are all kenyan citizens then ujue ni nani hasaa adui na at this time live bullets were flying allover. Yani shoot to kill. Several Israeli & US soldiers were killed and the mall bombed hii ingetendeka dar mngefagiliwa kama takataka nyinyi na hii pace yenyu ya mzeekobe.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tena muafrika unawezaje angalia dhahabu na macho na maelfu ya pesa expecially kama ni za muindi bila kupita nazo? Opportunity comes once bana.
View attachment 866300