Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aise huko mbele mtakuja kulia na kupata hasara sana hii ni kwa sababu Tanzania ikipata hio route wateja wenu watapunguza sana plus watalii mnaokuwa mnawaleta tanzania nao mtawakosa
hapa walipo wanaendesha hasara miaka mitano mfululizo kwasababu wapinzani washakua wengi na direct flight zishakua nyingi sana
 
Westy siilipigwa na Upanga jana hapa kariakoo itaftie mpinzani mpya ambae wanamatch
Onyesha mahali westy illipambana upanga...ilikua westy vs posta, kilimani vs upanga, kijitonyama combined[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
hahahahahaaa.... Watanzania wamezoea kulishwa matango pori.... πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
anhahaha umeanza kujitetea kwa vile ushajua kuti kavu lazima ukalieπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ukipata top ten towns in kenya list hapa alaf nitag
Hey, nangoja ulist your estates πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Na huyu tukimhoji vzr atataka kutaja Capetown, Nairobi na London, alimradi tujue amesafiri
Nairobi is a Proper City.
jaribu kutembea tembea angalau kisha ulete mrejesho. kama hauna tikiti useme tukufanyie mchango.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…