Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wakenya pateni michano hadimu ya bongo flavour niki mbishi n one incredible kwa interview


 
kwakenya kaka yenu kapotezwa na dogo kwenye hii ngoma na hii yote sababu hajielewi alivyopita country boy naye anataka kupita hivyo hivyo[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

wakenya mpoo hawa wanaitwa weusi

kiswahili kitamu muite barnaba

Wakenya tupo kabisa, in fact, mnafaa kumpa shukrani hio platform ya NGOMMA ambao ulianzishwa na mkenya na imewasaidia wasanii wengi sana kutoka East Africa na beyond.

Ngoma is multi-network channel on YouTube that pools videos to attract more subscribers to an artiste’s channel. Through this, the musician can earn revenue from impressions and advertising.
Started by Calif records producer Clemo.
 
But hawa wasee huimba tu style moja ma rnb same kama 2006,its getting boring day by day.
 
wewe bora tu uendelee kupost picha za nairobi CBD,you are very good at that.
 
don't get confused with the foreign number plate, the owner is a successful tanzanian young man who goes by an instagram ID of marleydollars.
hapa kazi tu[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…