LoyalTzCitizen
JF-Expert Member
- Sep 15, 2010
- 2,325
- 1,097
hiyo picha ya huyo simba ni kama anazomea hawa wakenya wa jf.Lion population declines to 2,000 due to poaching, lack of food
Aug. 10, 2018, 6:00 pm
By MELANIE MWANGI @mwangimelanie
A lion smiling / COURTESY
Kenya has only about 2,000 lions left compared to 2,280 in 2004, according to Kenya Wildlife Service.
The revelation comes as the World marks World lion Day today.
By next year poor Kenya is expected to accomodate only 25.lions![emoji57][emoji57][emoji57]
wageni hawatokuwa wakienda Ke kuangalia Lions anymore, itakuwa ni sheeda kuwatafuta kwa torch, watapata taabu sana hawa majirani zetu, things are going horribly wrong with them😀😀😀😀😀hiyo picha ya huyo simba ni.kama anazomea hawa wakenya wa jf.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
na sio tu tumewazidi kwa idadi ya lion bali hata kwa idadi ya elephant, giraffe and zebra hawatufikii.wakibisha tutaleta evidence. [emoji23]Mpaka jana, sept 10 Kenya walikuwa na Lions 2000 tu mkuu
huo ndio ukweli.wageni hawatokuwa wakienda Ke kuangalia Lions anymore, itakuwa ni sheeda kuwatafuta kwa torch, watapata taabu sana hawa majirani zetu, things are going horribly wrong with them😀😀😀😀😀
Yeah! Wanyama wa Ke yote wanaweza kupitwa na wa park moja tu ya Ruaha National park may be!na sio tu tumewazidi kwa idadi ya lion bali hata kwa idadi ya elephant, giraffe and zebra hawatufikii.wakibisha tutaleta evidence. [emoji23]
NB
kwa taarifa ambazo ninazo ni kwamba katika utawala huu wa JPM, idadi ya tembo imeongezeka sana. ikumbukwe tu kwamba katika utawala wa kikwete kulikuwa na kiwango kikubwa sana cha poaching nchini tanzania.
Safi sana.. mnakuja kuja
safi tupo vizuri
ni mshenzi sana huyo chokoraaaHacha tabia yakuiba picha za watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116] Wewe nenda kapate mlo wako hapo dump site[emoji23][emoji23][emoji23]
sura yake inafanana na anoldhiyo picha ya huyo simba ni.kama anazomea hawa wakenya wa jf.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]