Pia endeleeni kupika changaa Nairobi mtaipita DarπππEndelea kuuza samaki dar mtaipiku Nairobi msijali[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 854777View attachment 854783View attachment 854784View attachment 854785
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante kwa kutuonyesha ma jobless wakiwa wanazunguka mtaaniπππHapa ni lunch time baada ya mizunguko CBD. Mkimaliza kupata kazi ndo mshindane na Dar.Endelea kuuza samaki dar mtaipiku Nairobi msijali[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 854777View attachment 854783View attachment 854784View attachment 854785
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunatafuta kazi za maana not LDC jobs za kubeba maji mkipeleka Posta kuoga. Heru kulia kwenye Range rover kuliko kucheka kwemye boda bodaAhsante kwa kutuonyesha ma jobless wakiwa wanazunguka mtaani[emoji23][emoji23][emoji23]Hapa ni lunch time baada ya mizunguko CBD. Mkimaliza kupata kazi ndo mshindane na Dar.View attachment 854883View attachment 854885View attachment 854886
hivi una miaka mingapi??Tunatafuta kazi za maana not LDC jobs za kubeba maji mkipeleka Posta kuoga. Heru kulia kwenye Range rover kuliko kucheka kwemye boda bodaView attachment 854907
Sent using Jamii Forums mobile app
wanatia huruma sana,na hawa ndio aina ya watu tunaobishana nao humu.Ahsante kwa kutuonyesha ma jobless wakiwa wanazunguka mtaaniπππHapa ni lunch time baada ya mizunguko CBD. Mkimaliza kupata kazi ndo mshindane na Dar.View attachment 854883View attachment 854885View attachment 854886
Shukran!sijui ulimsikia nani akisema kuna jiji bora zaidi ya nairobi EA. Dar bado sana kwa Nairobi
dar wako na Baikoko[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wacha kunichekesha. Is BRT a culture! Ama uliskia nyinyi ndio watu wakwanza kuweka BRT kwa hii dunia! I mean tupee your city culture every city has its own culture sio lazima ikuwe transport related e.g Lagos ni clothline. China ni architecture, Kingston ni Rasta, Los Angeles ni Celebrity, Rio de Janeiro ni Samba & Nairobi ni Matatu. What about Dar?????View attachment 854771View attachment 854772View attachment 854773View attachment 854774View attachment 854775
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaaaaa yaani siku umeona hii itakuwa ulilala vyema sana.kumbe ni mjinga mwenzenu asiye na kazi ka edit ili awafariji.Shukran!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Buda kunajkitu inaitwa common sence. Kwa mfano- (Kuweka sofa na Tv kwa choo na kuleta kitanda jikoni ama kupikia chooni) yani mko confused sana, there is a reason why there is a CBD,Metro,Market,Bus station,aquatic zones,forest zones, High end,Middle class & low class at different areas in a City! Hio ndio inaitwa city planning na ndio maana unaona demolition in our city because they are planned! Huwezi expect kutembea kama umefunga leso na Ndoo ya maji kwa kichwa in Nairobi city center lafu uexpect kuwa normal that is weard, Kutupa takataka in the city center is an offence to. Kutembea na plastic paper bag ni hatia. At some zones utapata kupiga picha ni hatia. There are also places matatu hazikubaliwi.What i've learned from Kenyans ni kwamba Ubaguzi ni kitu hamuwezi acha. What's wrong for a woman living in a free country carrying a bucket with her goods to walk in middle of the city?? Kwa hiyo Kibera, Mathare and the likes ni isolation areas for the poor and they have no right to share public roads???
Sent using [emoji336]
baikoko ni ya tanga wewe acha kupuyanga.dar wako na Baikoko
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Buda kunajkitu inaitwa common sence. Kwa mfano- (Kuweka sofa na Tv kwa choo na kuleta kitanda jikoni ama kupikia chooni) yani mko confused sana, there is a reason why there is a CBD,Metro,Market,Bus station,aquatic zones,forest zones, High end,Middle class & low class at different areas in a City! Hio ndio inaitwa city planning na ndio maana unaona demolition in our city because they are planned! Huwezi expect kutembea kama umefunga leso na Ndoo ya maji kwa kichwa in Nairobi city center lafu uexpect kuwa normal that is weard, Kutupa takataka in the city center is an offence to. Kutembea na plastic paper bag ni hatia. At some zones utapata kupiga picha ni hatia. There are also places matatu hazikubaliwi.
Hapo hakuna ubaguzi hio inaitwa being Organized.
These are simples rule you guys seem not to have yet you ask why Nairobi and kenyan cities are planned than yours!
Sent using Jamii Forums mobile app
mwezi gani mkuu. nataka kuja kutaliibaikoko ni ya tanga wewe acha kupuyanga.
Na ni juu nimeandika kwa kiswahili from top to bottom kwa mara ya kwanza ju niligundua kizungu nishida kwa watu kama wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa mara ya kwanza nimekulewa Leo! !
Ungekua apa Mjini Leo ungekula walau Gordon dry gin na mbavu ya mbuzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Apana wako na, UBWONGOLALA the art of stupidity. What we are currently experiencing here in JFdar wako na Baikoko
Sio kizungu wala kikukuyu nimeelewa points ulizoweka tu!!mm niko na elimu kubwa kingereza sio tatizo kamweNa ni juu nimeandika kwa kiswahili from top to bottom kwa mara ya kwanza ju niligundua kizungu nishida kwa watu kama wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajiona unajua kenyan cities kutuliko na kumbe hujui...yani unatuwekea hapa picha ya railways bus terminus unaita CBD kichwa yako iko sawa kweli????hujawahi kuwa serios katika post zako,kipi ni sawa,wamama wabeba ndoo za samaki au hii mbolea kwa cbd???
edit vzr tuππππππππShukran!
hii ni nini umeandika sasa??,unajua ndio maana nikauliza umri wako.embu niambie kwenu kenya uchafu unaruhusiwa kukaa hapo railway station!!!ila si wamama kubeba ndoo na kutembeaπππUnajiona unajio kenyan cities kutuliko na kumbe hujui...yani unatuwekea hapa picha ya railways bus terminus unaita CBD kichwa yako iko sawa kweli????
Sent using Jamii Forums mobile app
heheheh πππ anajiona mjanja mwenyewehahahaaaaa yaani siku umeona hii itakuwa ulilala vyema sana.kumbe ni mjinga mwenzenu asiye na kazi ka edit ili awafariji.
na hzi slums zilikua planned na wakikuyu auπππππππππ[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Buda kunajkitu inaitwa common sence. Kwa mfano- (Kuweka sofa na Tv kwa choo na kuleta kitanda jikoni ama kupikia chooni) yani mko confused sana, there is a reason why there is a CBD,Metro,Market,Bus station,aquatic zones,forest zones, High end,Middle class & low class at different areas in a City! Hio ndio inaitwa city planning na ndio maana unaona demolition in our city because they are planned! Huwezi expect kutembea kama umefunga leso na Ndoo ya maji kwa kichwa in Nairobi city center lafu uexpect kuwa normal that is weard, Kutupa takataka in the city center is an offence to. Kutembea na plastic paper bag ni hatia. At some zones utapata kupiga picha ni hatia. There are also places matatu hazikubaliwi.
Hapo hakuna ubaguzi hio inaitwa being Organized.
These are simples rule you guys seem not to have yet you ask why Nairobi and kenyan cities are planned than yours!
Sent using Jamii Forums mobile app