Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naimani wewe Ni kilaza
hivi hizo picha kwako zinashida ipi
kwanza mie nimezipenda ile mbaya
picha zinajibeba zenyewe
Angalia chini palivyo safi
angalia kina mama walivyo valia uhalisia wa Mtanzania
Endelea kuzipost Itapendeza sana tu
Visit Nairobi siku moja then Compare that fishing village of yours with Nairobi city streets and you will realize just how lazy you guys are. Yani mmama anatembea na leso na ndoo ya maji kwa kichwa few metres from the city center! Kwani ako kijijini?
You can easily tell the LDC city from the MLDC city below
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] View attachment 854725

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha! Najadili na kilaza
umeona Leso hapo
unayajua mavazi ya pwani wewe
Hiyo huitwa mitandio
kinamama wafanya biashara hap hapo wametoka Feri kwenye Samaki
narudia Endelea kuzi post mie napenda sna picha hizo
 
New salendar bridge - UC
Six lanes road Kimara - Kibaha -UC
JKNI Terminal 3 - UC
Magomeni NHC - UC
e.t.c

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What i've learned from Kenyans ni kwamba Ubaguzi ni kitu hamuwezi acha. What's wrong for a woman living in a free country carrying a bucket with her goods to walk in middle of the city?? Kwa hiyo Kibera, Mathare and the likes ni isolation areas for the poor and they have no right to share public roads???

Sent using [emoji336]
 
I am fluent in both English and Swahili abduction!...wah!..please dont embarrass yourself live on JF!
What"s so embarrassing about being fluent in both English and Swahili? It has come to my attention that you are a pesky little bug, live your life, leave my life alone
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wacha kunichekesha. Is BRT a culture! Ama uliskia nyinyi ndio watu wakwanza kuweka BRT kwa hii dunia! I mean tupee your city culture every city has its own culture sio lazima ikuwe transport related e.g Lagos ni clothline. China ni architecture, Kingston ni Rasta, Los Angeles ni Celebrity, Rio de Janeiro ni Samba & Nairobi ni Matatu. What about Dar?????View attachment 854771

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nimekukumbusha tu ukae ueleweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘†πŸ‘†
 
Ha! Najadili na kilaza
umeona Leso hapo
unayajua mavazi ya pwani wewe
Hiyo huitwa mitandio
kinamama wafanya biashara hap hapo wametoka Feri kwenye Samaki
narudia Endelea kuzi post mie napenda sna picha hizo
Endelea kuuza samaki dar mtaipiku Nairobi msijali[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • street-scene-nairobi-picture-id538938707.jpg
    56.2 KB · Views: 35
mumeanza kutiana umaskini sasaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

 
asante tanzania πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
karibu sanaπŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘

 
Kwa mara ya kwanza nimekulewa Leo! !
Ungekua apa Mjini Leo ungekula walau Gordon dry gin na mbavu ya mbuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…