Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Thika road pekee inapitisha more cars during rush hours than whole of dar yote...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SGR hata bado hawajatandika reli mmeshaanza kulialia kwani mna nn lakin[emoji23] [emoji23] ,Sio nyie mlisema haitajengwa kwamba ni propaganda ,sahivi mnaanza kutuma madaraja yenu kujiliwaza

Sent using Jamii Forums mobile app
mkenya ni mtu mwenye wivu sana hasa anapoona ameshindwa na nchi iliopiga hatua ndani ya miaka 10 tu ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
[emoji23] [emoji23] wapewe medali ya kuzaana kama mapanya..chunga musiwe kama Nigeria.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dar es salaam ni bandari kuu katika ukanda huu wa Afrika ya mashariki na kati tunahudumia mataifa ya DRC, RWANDA, BURUNDI, UGANDA, ZAMBIA, MALAWI, ZIMBABWE NK, unadhani kwa mwingiliano huo wa mataifa Dar es salaam tutakuwa na pop. ndogo kama nairobi? acha mawazo finyu wewe nyangau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ