Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar BRT monthly revenues are twice your SGR's.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😀😀😀
wako vizuri 😀😀😀
sio kwa magwanda hayo 😀😀😀
 

tupia picha ya kitambi chako tuone
 
I assure you the Matatu industry remits more in taxes than the BRT ever will. While employing more people especially the youth. It also enriches the common mwananchi. Who does the BRT benefit financially. Do you think the GoK starts projects blindly?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kati ya vichaa wewe ni mmoja wao, hivi unajua faida kuu za BRT?, kama unaangalia kipato pekee kwanini msiruhusu biashara ya madawa ya kulevya ambayo yanaingizia pesa nyingi na kutoa ajira nyingi kwa vijana?. BRT is an indication of modern world and development, improves life standards of the people, easy urban movement, improves economy of the city through man hours that are reclaimed back.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuja Nairobi Mara nyingi sana, Kitu pekee naweza sema ni Kuwa kwenye public Transport Kenya mna mengi ya Kujifunza kwetu, that matati culture ni utamaduni wa kihuni kabisa tena ukileta hapa Tz utakosa watu, nimewahi panda kigari kimoja toka pale Eastleigh hadi hapa Oracle kwenye magorofa yanayojengwa na wachina, kwakweli is the worst, hata mikoani Tz kuna mifumo mizuri ya Public Transport kuliko Nairobi.
Halafu yote ni magari ya Kizamani yameandikwa sijui Saco,
Yanaweka mizigo juu eti, huku Tz huo utamaduni haupo.
Halafu zile wamepimp huwa naziona tu mkituma picha humu but mitaani nairobi mbona hazipo?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
The difference is BRT means Modernity and Civilization, while hizo matati ni Primitive, na ni utamaduni wa kihuni sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…