Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wewe jizee kuukuu upo mitandaoni unabishana na watoto.. kumbuka miaka kumi tu uanze kuvalisha napi.. use this senior age well comrade

ni kweli nipo 60s but at least kwenye uzee wangu tayari kuna vitu vya msingi nilisha achieve nilipokuwa kijana.mke mzuri, nyumba za kisasa, magari, investment mbalimbali etc.

wewe on your late 20s mpaka leo huna jambo la maana ulilo achieve, may be smartphone.

elimu yako haijaweza kukusaidia kupata job...umebaki kupiga porojo kwenye social media. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu naye ni bora mngemfanya awe mcheza ndondi angewapeperushia flag ya taifa
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
African Precious
Huyu ndiye baba wa Africa kafanya makubwa kwa africa wakati wengine walikuwa bado wanakumbatia wazungu
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji106] View attachment 837196
The father of failure..who can forget that his policy of ujamaa was a big flop...amd its the reason why tz is still an ldc till now
 
hii ndio tunaita machungu ya uzeeni...untamani sana kuwa kijana ila wapi .hivi wazee wapo wanasoma magazeti sio kutumia social media mwili umekataa..mara pressure, mara mgongo unauma...bibi hatoshelezwi chumbani mti umekataa kusimama mti umechoka ...hayo mihela yanakusaidia kivipi
 
njoo tz nikuajiri kijana....utazeekea hapo kenya ukiwa hata salary slip yako hujawahi kuishika....najua kazi za juakali hazina salary slip.ujobless huujawshi kumuacha salama kijana wa kikenya.

pls be careful usijingize kwenye ukora cos hessy hatakuacha...copper itakula kichwa yako. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

sawa lijizee...kapumzike najua mwili umechoka
 
The father of failure..who can forget that his policy of ujamaa was a big flop...amd its the reason why tz is still an ldc till now
Zilipendwa.........huyo jamaa ni bright balaa hakuna aliyemuweza africa nzima
 
sijapata kuona maneno yakitikea kwenye makende kama hayaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†
eti most developed city with jungle of slums and unemployment rate😝😝😝

kusikia tanzania inajenga modern electric train in africa munakufa mkijiona huku mchina kawachakaza mbaya

ukija kwenye medical my friend hio toa uchafu kwenye ubongo ni sector gani ya medical utaieleza tanzania weweπŸ˜…πŸ˜…

ama kweli dunia simama niteremke sijapata kuskia pumba toka hii thread imeanzishwa kama leoπŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†
 
Na umesahau cherehani tano hahaha
 
likijana lijobless la kikenya....upo 20 something na mpaka leo huna ajira ya maana. smh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Job is some form of slavery mate. Dont be proud kuamka kufanyia mtu mwingine kazi na kumwita boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…