Sasa ni muda mwafaka wa kumeza wembe.Leo tumeona ushamba wa annael...jamaa amepost mabus zote za tz...ni kama kenya tunatumia baiskeli...ushamba ni mbaya...
This thread is too childish and petty.....how the *** are we comparing buses...hii uzi inafaa kufungwa...hamna kitu cha maana hapa...Sasa ni muda mwafaka wa kumeza wembe.
Kumbe na nyie mnatumia buses. Si mwenzako alikataa. Subiri doze iingie kwanza.
Ndio nashangaa pia...acha amalizee za Kenya zifuateLeo tumeona ushamba wa annael...jamaa amepost mabus zote za tz...ni kama kenya tunatumia baiskeli...ushamba ni mbaya...
Hii inaitwa povu zito. Nyie mmeonesha vibasi vyenu old fashion tumekaa kimya sasa tumeanza kurudisha majibu unaanza kulia lia. 😀😀😀This thread is too childish and petty.....how the **** are we comparing buses...hii uzi inafaa kufungwa...hamna kitu cha maana hapa...
Safi. Creativity at work.Point of correction, Matatu sio Daladala wala BRT my friend! Matatu ni life style buda! Fika Nairobi #a city that never sleeps upande uone kama hutoroki dar[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] View attachment 833707View attachment 833708View attachment 833709View attachment 833710View attachment 833711View attachment 833712View attachment 833713View attachment 833714View attachment 833715View attachment 833717View attachment 833718View attachment 833719View attachment 833720View attachment 833721
zilete sasa😂😂😂Ndio nashangaa pia...acha amalizee za Kenya zifuate
sabuni express.....ni ya punyeto......lolTunaumiza kabisa katika jambo hili
buses na hdi ni low.......i never wish to visit tz again......nchi bila maendeleolol......walisema wana poverty level ngapi......
View attachment 833843
lol......lack of exposure ni mbaya sanaAnna, usisahau kupost plastic chairs na plastic cups & plates. mshamba kama wewe hakuna
tulitaka uone ni jinsi gani kuna stand moja iko busy kuliko zote EA na kati.😆😆😆mwenzangu umehesabu basi ngapi hapo???
mind you hiyo ni 6:00am pekee,bado masaa yaliyobaki .
Ukiwasikiliza wakenya kwenye social media utadhani babu kubwa. Kumbe maisha yao ni kama ya nguruwe. Hebu tuambie mnatumia nini kusafiri!?