Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hahaha Huu mwaka kitaeleweka
sasa jiwe la msingi tunaenda kuweka
ni treni ya umeme
sio ile mitungi ya chang'aa ya kenya
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
it's only in nairobi where foreigners can successfully form a criminal group and start to terrorize the city.shame
 
kama ulaya...[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
HASS kabla hata halijajengwa, limekosa mvuto, alaah nawashtua mazee. Hayo kwangu ni mabox/makasha yamepangwa. Bongo nonstop, Nairobi's baddest rival. (R.I.P HASS)
 
hahaa...leo huna kingine cha kusema kando na icho.... hiyo nhc 7 11 ni 17 floors so tafuta ingine...bado mko below 10 zenye ziko above 20 when nmekupa 18 tayari
17 times 11 towers sawa tukubaliane alaf tuendelee
 
nahisi kambalanick kaishiwa picha,maana inakaribia dakika ya 30 yupo kimya.

hahahahaha picha za maeneo mazuri ya jiji la nairobi zishaisha labda atuwekee za slums.

kambalanick tulikuwa tunahesesabu idadi ya risasi ulizokuwa unapiga hewani. tulijua utaishiwa tu.hahahaha

kila picha utakazo weka zitajibiwa kwa screenshot matata za matukio ya uhalifu yanayotokea Nairobi.hahahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…