ukiwauliza kwann watakwambia GDPππππHuu ndio ukweli, keep in mind that Tanzania has the biggest population out of all. Hapo ondoa Ethiopia ambao ni wageni EA
View attachment 829480View attachment 829483
sio mm ni google earthπππππππCBD 5% of the whole Dar., kijiji kubwa in population na land mass with slumish, unplanned, substandard settlements. Shunties!
any proof????nilikwambia mtwara cement inauzwa 7000 tsh sasa tatizo lako ni nini????
sipati picha vile nyumba nyingi za tanzania ni tope tupu kila pahali hadi inatia kinyaa.nilikwambia mtwara cement inauzwa 7000 tsh sasa tatizo lako ni nini????
Aiseee yaani ni mafuta gesi madini , kwa uongozi huu wa sasa watu lazima watajirike wananchi wanapiga kazi sio kidogo hawalali
Alafu poverty index 2018 Uganda na Tanzania wako juu ya Kenya, ukiondoa Ethiopia, kesi yao ni hali maututi! how?., Unemployment rate does not necessarily mean the populace is that poor, it does not capture the like of mama mboga, manamba, jua kali artisans, several agribusiness(wakulima wa biashara), etc., ndio maana IMF/world bank wakifanya utafiti wanapata walala hoi wengi wamajazana Tanzania, Uganda na Ethiopia licha ya percentage kidogo ya unemployment.Huu ndio ukweli, keep in mind that Tanzania has the biggest population out of all. Hapo ondoa Ethiopia ambao ni wageni EA
View attachment 829480View attachment 829483
tope ???? tanzania 95% nyumba zote ni block my friend sio nyie munaoishi kwenye nyumba full suite mabatiππππsipati picha vile nyumba nyingi za tanzania ni tope tupu kila pahali hadi inatia kinyaa.
Dar haina udongo mwekundu ni mchanga na mfinyanzi tu hiyo picha utakua umeitoa unakojua ww broWacha nikuonyeshe babaa juu nawaogopa kwa uongo
papendeza, how many Dar residents, sorry, I mean dwellers can afford to come and hit the ball?
so hutaki kukubali ukweli au????πππAlafu poverty index 2018 Uganda na Tanzania wako juu ya Kenya, ukiondoa Ethiopia, kesi yao ni hali maututi! how?., Unemployment rate does not necessarily mean the populace is that poor, it does not capture the like of mama mboga, manamba, jua kali artisans, several agribusiness(wakulima wa biashara), etc., ndio maana IMF/world bank wakifanya utafiti wanapata walala hoi wengi wamajazana Tanzania, Uganda na Ethiopia licha ya percentage kidogo ya unemployment.
hehehhe nilimwambi akiniletea ushahidi kua hapo ni dar nafunga account jamii forumππππDar haina udongo mwekundu ni mchanga na mfinyanzi tu hiyo picha utakua umeitoa unakojua ww bro
forget about word slum in darπππpapendeza, how many Dar residents, sorry, I mean dwellers can afford to come and hit the ball?
kuna tofauti kati ya mtu anayetembea barabarani na huku mitandaoni!???ulitarajia nipate info toka kwa watembeaji barabarani? wewe una akili nzuri kweli????
how comes sehemu zingine bei ni 7400 na kwengine ni 13,000 - 20, 000 (Tsh).... you see that range?
dullard
Waje tanzania tuwalee ardhi ni kuuubwa huko kwao wako utumwani njaa, mateso, hakuna ajiraso hutaki kukubali ukweli au????[emoji23][emoji23][emoji23]
mm nilikwambia GDP yenu sio halisi ukilinganisha na maisha ya wakenya huwezi ukawa na taifa 40% unemployment rate hio utakua nchi inayoendelea??? sasa usishangae kusikia below poverty line 43% in kenya kwasababu inaendana sambamba na unemplyment rate yenu[emoji13][emoji13][emoji13]
alafu munakuja hapa kuataka kushindana na tanzania
Haya sasa calculate ratio ya slums to organized estates tuone.., red shows the location of mentioned slums, not size..., [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji115]sio mm ni google earth[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 829639View attachment 829640
πππππππpapendeza, how many Dar residents, sorry, I mean dwellers can afford to come and hit the ball?
unajua umuhimu wa intaneti tu,ila hasara zake huzijui!!niko fiti. ila huyo jamaa kanishangaza sana... nashuku anaeza kuwa yuaishi pangoni na hajui umuhimu wa internet
click this photohehehhe nilimwambi akiniletea ushahidi kua hapo ni dar nafunga account jamii forumππππ
ni calculate goodHaya sasa calculate ratio ya slums to organized estates tuone.., red shows the location of mentioned slums, not size..., [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji115]
hehehheπππππ na GDP piaWaje tanzania tuwalee ardhi ni kuuubwa huko kwao wako utumwani njaa, mateso, hakuna ajira
Wakisoma hii post watajibu kwa picha za two river mall