Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

asante lakin punguza hasira na plz usipanicπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

hamna hasira hapo.. .. I am only getting entertained by your trying too hard to show that Tanzania is developing. Chema chajiuza kibaya chajitembeza.. .. be the judge. Tihihihi
 
nakuhurumia kwa sababu unapenda kuzingatia maoni ya watu wa mitandaoni bila kujua wana interest gani??juzi tu hapa nimerekebisha nyumba ya mama angu iko maeneo ya yombo,dar es salaam,nimetumia cement ya dangote kwa gharama ya tsh 13000/=kwa kila mfuko!!
Usiongopewe cement ya dangote dar ipo ya kumwaga tu!!na ndo bei rahisi vibaya mno..
 
hamna hasira hapo.. .. I am only getting entertained by your trying too hard to show that Tanzania is developing. Chema chajiuza kibaya chajitembeza.. .. be the judge. Tihihihi
tanzania kwenye issue of developments bro huiwezi hata kwa ukucha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
View attachment 829292
huyo jamaa akili hana huyo,kaangali hayo matuta akadhani hiyo samawati ndo rangi ya ardhi,kumbe hajaelewa ile passage ya juu imeandikwa kwamba huyo mama kachanganya udongo na mbolea!!wakenya ni wa ovyo hapa EAC,mnashindwa kuelewa concept ndogo tu hiyo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…