Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unaona vizuri ameandika where the American embassy was na bado unauliza ujinga. Wakati mwingine hua nasoma unachoandika na kuwaza Sana. You might be insane na hujajua bado
nastaajabu kuona sehemu chakavu sana ilipokua embassy of america nimeshtukaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†
 
hasira za wakenya sasa zimehamia kwenye modern electric train in africaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ inayojengwa tanzania ila kwa kuwakumbusha mpaka sasa phase mbili ziko under construction from dar to dodoma lakin pia mkumbuke mpaka sasa inajengwa kwa pesa za tanzania na hakuna loanπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Usisahau mji wenu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
sasa hvi hakuna kuchekeana kila mmoja anataka kuinukaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Usidharau mji wako huenda siku moja utafikia hadhi au kiwango cha Nairobi.
endelea kuokota picha google alaf useme dar πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚alaf bahat mbaya udongo mwekundu hua unakuponza
 
Hiyo hata ng'ombe ya grade itakuambia ni slums
thibitisha kua hapo ni darπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†udongo mwekundu na dar wapi na wapi😝😝😝
 
endelea kuokota picha google alaf useme dar πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚alaf bahat mbaya udongo mwekundu hua unakuponza
Fig. 11: As the soils in the Dar es Salaam Region are poor in nutrient content, the farmers are very often using fertilisers. This woman in Manzese Uzuri is scattering chicken manure, one of the most popular fertilisers in Dar es Salaam, which is available at supply stores all around the city.

Huo ni udongo wa rangi ya samawati.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…