Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio maana unaambiwa hakuna URBAN PLANNING mji wenu.

A city that fails to plan, is planning to fail.
 
NDIZO HIZO SUBURBS ZENU.
Kenya, Eastlands suburbs...Angalia tofauti

sasa wewe unaonesha slum of some place that i'm not even sure if it's really Dar halafu chini yake unaweka eastlands. Kwa akili yako hiyo ni fair fight? Ukiweka slum ya dar, linganisha na slum ya Nairobi, ukiweka suburb nzuri ya nbo, linganisha na suburb nzuri ya dar, easy as that
 
a place that has those buildings to host one of the most beautiful architectural pieces means that the area is having some serious change. Nyie huo uchafu wenu wa kibera mnajenga nini?
Hapa sasa? [emoji90] [emoji90] [emoji90] [emoji90] [emoji90] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hehehe anaokota picha za google alaf anakwambia dar anapokosea yeye sasa haangalii udongo analeta udongo mwekundu darπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wameshapanic tayarii wazoee
 
wewe uko proud being number 8 on this list, mimi niko sad being on this list na ninawork hard kumaintain level nzuri ya maisha yangu na kuwaelimisha vijana wengine wa kitanzania kuhusu masuala kama haya
Nani ako proud? Umaskini si kitu ya kushangilia. We are deconstructing your thoughts ati Tanzania below poverty ni 22%

Piga hesabu. Usipandwe na presha
 
Ndio maana unaambiwa hakuna URBAN PLANNING mji wenu.

A city that fails to plan, is planning to fail.
So you are implying that urban planning involves putting rich people and poor people in different areas? Sikia nikwambie kitu labda hata policy za serikali zetu zinachangia, Ninyi mlikuwa mabepari ila sisi socialists hatuna upuuzi huo. Affordable housing ndio ussugest na si vinginevyo
 
Ndio maana unaambiwa hakuna URBAN PLANNING mji wenu.

A city that fails to plan, is planning to fail.
nairobi ndio kuna urban planningπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
hizo slums zilishushwa na MunguπŸ˜‚πŸ‘†
 
hio video nilishaitazama kabla hujaijua ukinionesha slum hapo nitag plz[emoji23][emoji23][emoji115][emoji115]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Wahenga hawakutupaka mafuta waliponena Nyani haoni kundule
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Wahenga hawakutupaka mafuta waliponena Nyani haoni kundule
Google earthπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
mzungu sio mjinga
 
Na ndio sababu mtazidi kubaki nyuma. I hope umeitizama hio video. Mko chini kama NONSENSE.

Tumia google ujielemishe kuhusu Urban Planning
 
Usijifanye hujui Dar sluum kubali usaidike...the first step to healing ni kukubali hali yako sio kuwa in denial na hasira za mkizi.
 
Nani ako proud? Umaskini si kitu ya kushangilia. We are deconstructing your thoughts ati Tanzania below poverty ni 22%

Piga hesabu. Usipandwe na presha
No sina presha ila ninakukosoa tu wa kile ulichosema, eti "tumeshindwa na nini? na nani? punguza presha" halafu chini yake umepost countries with most poor people. Huu ni ulimbukeni, yaani uko determined to step on us wakati we are both on that list perhaps labda msingekuwepo ndio ningekubaliana na wewe
 
Na ndio sababu mtazidi kubaki nyuma. I hope umeitizama hio video. Mko chini kama NONSENSE.

Tumia google ujielemishe kuhusu Urban Planning
Hiyo video wameingalia wakaanza kuyumba yumba yani siri zao zimewekwa wazi...I am telling you we are taking over this thread...I think its time to even close it ama tungoje pinnacle imalizike tuwanyamazishe forever?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…