Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hatujawai ficha slums zetu. Wakuficha wanajulikana. Slums zetu picha ziko all over. Zingine ziko kwenye GALLERY yako mwenyewe.

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
nani anaficha slum
hii ni google earth utaficha nnπŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡
google earth haitadanganya kaka
 
Cheki hapo kando yani Dar CBD iko na slum
a place that has those buildings to host one of the most beautiful architectural pieces means that the area is having some serious change. Nyie huo uchafu wenu wa kibera mnajenga nini?
 
wanaforce dar iwe na slumπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
yani wanalazmisha ifanane na nairobi kwenye slum πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

google earth hiiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
haitadanganya mpaka yesu anahuka
 
Hatujawai ficha slums zetu. Wakuficha wanajulikana. Slums zetu picha ziko all over. Zingine ziko kwenye GALLERY yako mwenyewe.

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
that means you should be ashamed of yourselves. mmekalisha matako yenu kuisimanga tz wakati bado huo uchafu umejaza mitaa yenu perhaps hadi sebule zenu ni uchafu mtupu
 
aibu kabisa aibu!!!!!! wameona wameshindwa eti wanaleta countrieswith most poor people jamani hawa watu ni wajinga sana
 
aibu kabisa aibu!!!!!! wameona wameshindwa eti wanaleta countrieswith most poor people jamani hawa watu ni wajinga sana
yani wao wanafkiria google earth inaeza danganya wakati iko juu inatazama duni nzimaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hii ni Area ndogo saaana ya Dar....a;ready tunajua ukweli no matter how hard you try.
lakin google earth hawakuona πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚yani mzungu maana yake hakuona dar akaona nairobiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
munamfanya mzungu mjinga sana vile
 
aibu kabisa aibu!!!!!! wameona wameshindwa eti wanaleta countrieswith most poor people jamani hawa watu ni wajinga sana
wakishindwa hua wanakimbilia kwenye GDPπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na huu mwaka kila wanapogusa ni pamoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…