Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I asked you very a simple question.
Do you want to construct a question!?
What exactly do you want to accomplish!?
Come with analytical arguments then we will discuss as matured people. But now you are just commenting childish points.
Can you please come with critical points about ur unemployment!?
 
I also want you to come with convincing points about test of an albino soup.
 
SGR lazima mukope kaka, serikali is struggling to finance, hamna pesa ni porojo ya CCM na unajua. Bagamoyo ni $10Bn(Ksh1Trn) deni almost three quarters your natiobal budget!., ilhali hamna import/export bulk sufficient to satisfy its huge demand to break even. Nchi zenye zimewazunguka ni masikini wa kutupwa! Maybe Africa's plan of interconnection ya SGR happens fast, as agreed across the continent, Mchina anasema plan yake ni port ya Bagamoyo iwe kama ile ya Shenzhen of which kiukweli hiyo ni opinion yake tu, Shenzhen has business which even if EAC yote tu combine and we all use Bagamoyo port na pia tuvute Ethiopia we can't match Shenzhen!! Mchina ako na agenda yake. Am hoping for the best lakini., Mungu akitupa uhai tutaona vile mambo yataenda.
 
I pity you my friend from south.
This we call it an inferiority complex. Am not ur friend though.
I told you to come with strong arguments rather than writing simple things.
We are talking about population under poverty line. Can you please come with intellectual arguments on why kenya has 40% under poverty line although is a developed country!?
 
I also want you to come with convincing points about test of an albino soup.
See, this is unprofessional argument. I told you to come with references and evidences. If you are not prepared I will give you a home work. Go and google, I think you gonna find answers. Do you understand!?
 
See, this is unprofessional argument. I told you to come with references and evidences. If you are not prepared I will give you a home work. Go and google, I think you gonna find answers. Do you understand!?
Hello Mr. Parasite 😂😂😂...You parasite on google everytime.
 
I can see the grammar truth is injecting very hard and causing pain in the ass😂😂😂. Hasira itakuwa my friend, achana nayo ksbisa.
 
Hello Mr. Parasite 😂😂😂...You parasite on google everytime.
Now you are vomiting rubbish. Make preparation then come to discuss with me. Do you understand!?
 
I can see the grammar truth is injecting very hard and causing pain in the ass😂😂😂. Hasira itakuwa my friend, achana nayo ksbisa.
These are the arguments of stupid people. Rather than discussing issues your talking about other people. Come with intellectual points we can talk as mutured people.
Can you do that!?
 
English ya kuandika iko tofauti na ya kuongea kwa sababu ya kuandika maandishi yanageuzwa juu chini, chini juu
Muda mwingine uwe unatumia akili zako,so kila unachoambiwa we unaamini tu!!
 
alafu kuna watu wanajifananisha na nigeria huko nairaland[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]

Inua hii view juu kiasi uone your sister city., birds of the same feathers. Lagos ni ovyo ukichukua kwa ujumla!! Matatu(daladala) zimeoza, zingine wameweka viti vya mbao, yani bench, some zimeoza hadi kutoboka, unaona lami ukisafiri!!! congestion in bus stations[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wacha kutubu nakuWamsaliti kamas yuds



......lete official report ya IMF .
2018
 
EAC hata kama tuna shida zetu, from Burundi all the way to Ethiopia we are better in organization and modes of public transport when we compare with west Africa!., though Nigeria are putting massive investments to improve, lakini bado!!
 
When you compare Kenya and Nigeria, kenya iko vibaya sana.
No hunger in Nigeria. Few slums in Nigeria. Labda akili zako ni finyu.
 
Lake Ngozi.
Ramani ya Africa. The wonders of Tanzania.

Tz nchi yetu ni nchi ya history ya kimungu yaani nusu ya maisha ya viumbe vya kwanza yapo Tanzania na ile bustan ya eden ipo tz hawawezi kuamini ila ni ukweli.
.

.Tz ni 1st historicalbsite kidunia
 
kwa hiyo wewe education yako iko vizuri sio???mbona huwezi kuunda sentensi vizuri,haya tuambie kiingereza cha "I always says"..ni kiingereza cha aina gani!!
 
EAC hata kama tuna shida zetu, from Burundi all the way to Ethiopia we are better in organization and modes of public transport when we compare with west Africa!., though Nigeria are putting massive investments to improve, lakini bado!!
Hebu wacha maneno hayo kijana. EA nchi inayojielewa ni Tanzania pekee. Huwezi kukuta raia wa Tanzania wanahaha kukimbia nchi yake.
 
Thank you. Now keep to your lane. Hamjafika., though so far mko on the right track. Am hopeful mtajikwamua kwa umasikini, if all your projects are realized soon.
Ubarikiwe kiumbe hai ila utoke kwenye imani potofu tz inakimbia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…