Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nimeambiwa kuna bus stage ya nairobi ya 2018 nasubiri kuoneshwa plzπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
Hatuna wakati ya kukaa kwa viti tukingoja ati bus...time is money..anywhere anytime...ata saa tisa usiku utapata gari
 
Hii picha kuna mwingine anaona jinsi ilivyo ya ajabu? Majani gani yako kama manyoya ya paka? Halafu kwenye vibanda kuko clear ila picha yenyewe ina mawimbi. Kweli tumefikia hapa kuweka picha za uongo ku-prove nini?
 
Mbezi luis
Kiluvya
Kibamba
Kimara
Goba
madale
Tegeta
Ubungo
Sinza
Bunju
Boko
mbweni
Kunduchi
Bahari beach
Kijitonyama
Mwenge
Makongo juu
Mbezi beach
Msasani
Kinondoni B
Tabata
Chang'ombe
Magomeni
........
 
Hii picha kuna mwingine anaona jinsi ilivyo ya ajabu? Majani gani yako kama manyoya ya paka? Halafu kwenye vibanda kuko clear ila picha yenyewe ina mawimbi. Kweli tumefikia hapa kuweka picha za uongo ku-prove nini?
hawa watu ni wajinga sijapata kuona yani kwa dunia ya leo utamdanganya nani, hvi kweli dunia hii ya utandawazi kila mtu mjuaji watandanganya nani nimecheka sanaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
hii ndio city munataka kukaa meza na dar jamani wakenya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡
Mungu anawaona mjue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…