Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mwanza - Furahisha

DNZ_TuPWAAI1Q4B.jpg

DNZ_TuGXkAAOubr.jpg

DNZ_TuJWsAAzCeu.jpg

Wakenya semeni tena hilo ni daraja lenu.
Did you know that this bridge was actually designed by a Kenyan Architect?
IMAGE 01P.jpg
IMAGE 02P.jpg
IMAGE 03P.jpg
IMAGE 04P.jpg
IMAGE 05P.jpg
IMAGE 01P.jpg
IMAGE 02P.jpg
IMAGE 03P.jpg
IMAGE 04P.jpg
IMAGE 05P.jpg
IMAGE 05P.jpg
 
😱😀 Kuna Mkenya eti ana insult dar kuwa no fishing village which is true coz ilianza kama fishing village ila asichojua ni kwamba cities that started out as fishing villages like Hon kong ,Shanghai na Shenzhen in majiji ya kisasa Leo no wonder Dar inawapa jasho kila siku
 
😂😂😂😂😂 yani jamaa wanalia kila siku hawana amani kabisa
 
Who cares? Expertise ya Kenyan architects being practised in Tanzania means that huko Kenya hawana tenda
hawana kazi hehe yani barabara ya km 3 inajengwa na wachina na wazawa wapo hawana kazi😂😂😂😂😂
 
😱😀 Kuna Mkenya eti ana insult dar kuwa no fishing village which is true coz ilianza kama fishing village ila asichojua ni kwamba cities that started out as fishing villages like Hon kong ,Shanghai na Shenzhen in majiji ya kisasa Leo no wonder Dar inawapa jasho kila siku
Nadhani hajui statistics zinaonesha watu wengi ulimwengun wanaishi pembezon mwa bahari. Na huko ndo chimbuko la starehe za kira rangi.
 
Mtu anionyeshe any place or any link inayoonyesha Dar as the greatest city in East Africa...
 
Mtu anionyeshe any place or any link inayoonyesha Dar as the greatest city in East Africa...
Safi sana, hii inaonesha tayari umeshalipokea hilo, unabaki kutapatapa eti unataka Mungu atoke ulaya aje ajustfy ndio uamini
 
Many cities and towns in Kenya are very dirty unlike Tanzania, you can notice this even from lake Victoria, mwanza side or even Uganda the lake is clean but go to Kisumu you will be surprised.
kisumu zimejaa basikeli taxi uchafu mtupu😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom