hawawezi kujibu hapo😂😂😂Write your reply...nairobi wazee wa jengo fupiiii mnara mrefuuuuu
Eee mwenyez Mungu watangulie madaktar wafanikishe malengo yao. Amengood step[emoji106][emoji106]
😂😂😂😂 wanataka kujipimana nguvu na modern stadium in east africaKisirani stadium [emoji23] [emoji23] hii sio lubumbashi ni Nbo View attachment 822503
Watakuambia kuwa port yao ya mombasa ni biggest kuliko[emoji3] [emoji3] [emoji3]kimbizeni upepo tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]
Waache waendelee kujifatijiwatakwambia watanzania wavivu wakat tuna surplus of food 3 million tons[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]
Yaani huo uwanja umekaa na kisirani kweli yaani umenuna aisee[emoji134] [emoji3] [emoji3]Kisirani stadium [emoji23] [emoji23] hii sio lubumbashi ni Nbo View attachment 822503
Barafu inaelekea kuisha.
Mbona sisi hatulalamiki ninyi kuweka lile jengo la kicc na la Times miaka ya 1980 mpaka leo ni hiyo hiyo,badilisheni muweke hata kipande cha SGR🙄🙄Hizi glass tatu ndio mnashinda mkiweka hapa usiku na mchana. Hamna majumba mengine?