Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

alafu utuletee za mafuriko dar
 
utuletee za panya road pia uelemishe umma
 
Leta pics za unplanned city tuone vizuri.
subiri nimalizane kwanza na ma-screenshot za robbery maana zipo nyingi sana na zinaongezeka kila wakati huko twitter.

many Kenyans use twitter to express their problems so it's very easy for me to get what I want.
[emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Naona tayari maadui zetu wameanza kupoteana katikati ya uwanja wa vita.hahahahaha... tulieni sindano iwaingie.chezea watz nyinyi....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hivi hapo Wakenya wanachunga kondoo au tembo? Hapo ndo mnapoharibu. Maana tembo wa kushikwashikwa hivo hana tofauti na wa India, Halafu kwann mkipost picha, haitapita picha 5 bila kurudia kupost kale ka.kichuguu chenu (round pillar) cha Nairobi cha mwaka wa 50, cjui kuna kizizi gani hapo!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…