Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ile galana naskia ilisombwa na mafuriko[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Pole, bado unalala!!! amka sasa usije pia ukaota unakojoa kwa mtaro kumbe ni malazi!..,
 
As the gap keeps on increasing..,[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] That will never happen, nyang'au ni nyang'au!.,
 
Nigeria amekopa kidogo kuliko nyie je unataka kusema ke imezidi Nigeria?
Ur reasoning is wanting!!
Nigeria wana subsidy ya mafuta., lakini bado wanakopa! na wana uwezo wa kukopa zaidi na zaidi, kama GDP mzima ya Tz. Pambana na hali yenyu, propaganda republic.
 
Kiukweli naiona tz inaelekea mahala pazuri sana huko mbeleni huu ni wakati sahihi kwa maendeleo haya. We deserve this
[emoji23][emoji23][emoji23]Unlike you tanzanians we wish you the best...kwani you think we in the same level???blind patroitism...karibu kenya.. utadhani uko ulaya...
 
Nigeria wana subsidy ya mafuta., lakini bado wanakopa! na wana uwezo wa kukopa zaidi na zaidi, kama GDP mzima ya Tz. Pambana na hali yenyu, propaganda republic.
leo munateseka na kulia juu ya tanzania heheh mulijua bado ni ile 90sπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Sisi watanzania huwa hatuna tabia za kijinga za kutukana watu hovyo kama nyie so please kama hamkufunzwa tabia njema huko kenya labda hapa jf tutawafundisha
Ona mwendazimu anaanza matusi then anawashwa, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaha..finally found the perfect article..ati hadi dodoma ni slum..their capital
 
Speed of light ndio speed mmejenga nayo tazara na ubungo interchange? Nyinyi hata speed of darkness hamjui
 
Hello there.... Are Danganyikans still defending the indefensible???? Are they still claiming Dar is slum is the largest city in the world??? Are they still claiming Danganyika is the largest Economy in the world??? Are they still claiming Danganyikans are descendants of Mary the mother of Jesus????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…