Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nikukumbuke wewe mm nimeish na wakemya wengi nitatukukumbuka kwa lipi hutaki iwe 35 floors au hahhahahhhahaha mwaka huuuu
actually andika jina ya hilo jengo chini alafu likikamilika urudi uniambie kama ni less than 25floors.
 
Nmeona Mombasa ndio mnafaaana ni CBD pekee ndio mmechapa Mombasa bure vi2 mob inawachapa
ata sio Cbd. ni Pta (parents teachers association) na Pspf yenye wamejenga 2yrs ago. izo zingine zote, barabara, maji, stima, surbabs, hotels, beaches, e.t.c wako down kama soxxy ya kiatu. niko nao wengi nakutana nao kila siku na hawakatai Mombasa iko mbele
 
Nmeona Mombasa ndio mnafaaana ni CBD pekee ndio mmechapa Mombasa bure vi2 mob inawachapa
Mm nimekwambia chukua nairobi mombasa na kisumu pamoja bado hamutoboi kwa dar munaishia 1196 kmsq wakat dar 1590 km sq yani kwa namna yoyote hamutoboi
 
Simulikimbia buildings over 20 kawaulize wenzako hahhahahahaha bongo hakuna mchezo hahahahahahha unbelievable year
 
Kwenye hotels kakimbia mwenzio amekalia kuiba pic za bridge akajua hatuijui mombasa hahahhahahhahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…