Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sasa unapotoa hoja toa na ushahidi umesema wanaenda kinyume na vision ya mwalim nyerere zungumza sasa nania anakwenda kinyume na kwa lipi hatutaki maneno ya vijiweni
 
hakuna hasira hapa., ni mshangao ya upofu wenyu[emoji15] [emoji15] [emoji12] [emoji12] na kicheko tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mshangao wanini CCM itakuumiza kichwa bure tu CCM ndio mkombozi wa africa na inaheshimika mpaka kwa wazungu hukoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
sasa unapotoa hoja toa na ushahidi umesema wanaenda kinyume na vision ya mwalim nyerere zungumza sasa nania anakwenda kinyume na kwa lipi hatutaki maneno ya vijiweni
Put the statement to the test, measure against what was and what is as far CCM is concerned, I leave the burden of proof for you. What you will see if you will be objective, itakuchanua.
 
jibu swali nililokuuliza ni kiongozi gani kaenda kinyume na view za mwalim nyerere na kafanya nn ili kwenda kinyume na view za mwalim nyerere πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
nijibu kwa uelewa usikurupuke tafdhali maana mm hua sichelewi kumvua mtu nguo
 
Posted Just Now ....
 
Put the statement to the test, measure against what was and what is as far CCM is concerned, I leave the burden of proof for you. What you will see if you will be objective, itakuchanua.
Wewe mkenya unaijua zaidi CCM kuliko wanaCCM wenyewe!!?
Je, unaweza ukaleta ushahidi wa hayo unayoyaongea?
 
hehehhe ndio nilichomwambia hapa sasa hvi alete ushahidi kwa anachokizungumza kaanza kulia tu na kukwepa swaliπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Bigger part looks like third world Nairobi, from Tom mboya street, River Road, Nyama Kima area...
nijibu hapa ni wapi ??? plz heheh CBD ya nairobi ndio inakaa hvo bila make up πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…