Hakuna mtu anachukia wakenya hapa hatuna ukabila sisi kuna wakenya wapo hapa toka jf imefunguliwa na mpaka leo wapo (usilete ukabila wako humu)usitutie nuksi ila kuna watu kama wewe mdomo kama choo lazima ule za uso.Na sasa kina kadoda na icho walitumia lugha mbaya but waezi blockiwa....ata icho amesema said anataka vita zikue Kenya...mko xenophobic mnachukia wakenya sana
unajiaibisha na hii kauli yako ya kujenga inchi ten years sasa.ati wakoloni waliacha barabara...nktTumejenga nchi 10 yrs munalia hvi nyie mumejenga nchi 50 yrs na bado mlikuta wakoloni wamejenga Barbara na majengo alaf Leo unashangaaa hahahhahaahha
Picha ni zako yangu ni facts..weka picha za nai na dar
Mnazaana kama mapanya kujaza city center ..if you think this a good thing you are mad
Kwenye forum za watanzania kuna wakenya wengi tu wanajisikia wapo nyumbani na hatuulizi wanafanya nini jiongeze kidogo dogo.But nyinyi sijui mnafanya nini hapa hii ni forum imetengewa kenya
Mbona unanidhamu ya uoga sana hehehh tulia baba😀😀😀😀😀ati ten floors....ata nyumba za watu kuishi pipeline ni ten floors
Hahahahahahhaaa ndio jina lao hilo wazee wa minara.Tower za kuweka minara juu hhahahha alaf unaita urefu ukivaa kofia pia unapigia hesabu au????? Na je ikitolewa itabaki same figures hapa tunataka actual height hakuna ujanja hapa hhehehhhehheehh
Hawakuacha kitu Tanzania waliacha nini???Taja walioacha Nyie mpaka Leo plan za Barbara munatumia za wakoloni majengo ndo usiseme mengi munatumia ya wakoloni hahahhaha 10 yrs my frnd munalia hvi hahhahhahahah😀😀😀unajiaibisha na hii kauli yako ya kujenga inchi ten years sasa.ati wakoloni waliacha barabara...nkt
Ulicho reply nikipi hasa!!ati ten floors....ata nyumba za watu kuishi pipeline ni ten floors
my point is..i dont think there is anyone who is idle enough to post even ten floor buldingsUlicho reply nikipi hasa!!
Nimesema aweke jengo kwa jengo
kuanzia 40 kushuka
mwisho 10fl
Tuone Kati ya Dar na Nairob
wewe unakuja kutapika
so you mean wakoloni waliacha kiccc,times tower,uap,thika road,sgr,master plan ya upperhill,dongo kundu,kasarani...acha ujuha nduguHawakuacha kitu Tanzania waliacha nini???Taja walioacha Nyie mpaka Leo plan za Barbara munatumia za wakoloni majengo ndo usiseme mengi munatumia ya wakoloni hahahhaha 10 yrs my frnd munalia hvi hahhahhahahah😀😀😀
Kwani mlipata independence wen si ni mbele ya kenyaTumejenga nchi 10 yrs munalia hvi nyie mumejenga nchi 50 yrs na bado mlikuta wakoloni wamejenga Barbara na majengo alaf Leo unashangaaa hahahhahaahha
Jengo urefu hawatumi floors..Kwahiyo Dar hakuna hizo Towers!!
Inakamilika!!
Nani haikamiliki?
Mbona tukiwaambia Barabara pekee ndio hoja yenu
nasi zinakamilika
mnaanza kuponda maneno zina,tuta,ita,
hahaha
Fanya hivi
weka jengo kwa jengo
kuanzia 40fl- 10 fl
ebu muulize ...ati wamejenga nchi na ten years na kenya imejenga na 50, wakati hao ndio walipata uhuru wa kwanza,ardhi wanayo,rasilimali wanazo na bado wanakula vumbiKwani mlipata independence wen si ni mbele ya kenya
Hawasee sijui wanakaaje sijui wanafikiria aje wanadhani city ni towers tu...inafaa wajue Dubai iko na tall towers kushinda london but city inaheshimiwa ni londonebu muulize ...ati wamejenga nchi na ten years na kenya imejenga na 50, wakati hao ndio walipata uhuru wa kwanza,ardhi wanayo,rasilimali wanazo na bado wanakula vumbi
Hawasee sijui wanakaaje sijui wanafikiria aje wanadhani city ni towers tu...inafaa wajue Dubai iko na tall towers kushinda london but city inaheshimiwa ni london
my point is..i dont think there is anyone who is idle enough to post even ten floor buldings