HII GARI ITAHAMISHA MJADALA SASA HIVI
hehhehe wakenya watalia safari hii jamaa yuko serengeti wiki nzima yeye na familia yake๐๐๐
COLLO kashatokwa povuhehhehe wakenya watalia safari hii jamaa yuko serengeti wiki nzima yeye na familia yake๐๐๐
Hebu tuma hizo picha tuonePicha ya kwanza inafanana na pale Lugalo uku Dar road imezungukwa na miti na wamedesign garden katkati ya barabara panapendeza sana (New bagamoyo road)...
kaongea wapi hebu nitag plz๐๐๐[emoji3] [emoji3] haya ndiyo mambo ya wakenya naona COLLO kashaanza kuwa kichaa sasa......inabidi apelekwe milembe.....hiyo thread aliyoianzisha ni kuipotezea tu maumivu huu ni upuuzi wa Collo
[emoji116] [emoji116] [emoji116] View attachment 808666
we isearch hiyo thread utaikutakaongea wapi hebu nitag plz๐๐๐
nipe jina plwe isearch hiyo thread utaikuta
poanipe jina pl
acha hasira basi plz๐๐๐๐Hii ni ufala..kwani there is nothing else to talk about apart from Obama...kwani ni Mungu...tusonge bana
Zii ichoboy...si ati ni hasira...but kwako kweli inamake sense?acha hasira basi plz๐๐๐๐
usiku mwema lala ukueWah! Nyinyi watoto sana. Mnajadiliana mtu binafsi alifika wapi kwanza? Hahahahahaaa sasa amewasaidiaje/atawasaidiaje??
WaTZ watu wa AIBU
Big babies! Check your time, y'all should be sleeping right now