Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kweli waTz wanachekesha..saa mtali moja akija kwenyu inakuwa breaking news...
former president of USA and his family in singita sasakwa serengeti for one week 😀😀😀😀
anaongozana na watu zaidi ya 100
 
Naomba unielimishe ivi kijitonyama na upanga ni kitu moja. ......juu naona yale majengo yote ya tanhouse,morocco etc

Haiwezi kuwa kitu kimoja, tayari kuna majina mawili, picha imechanganya maeneo yote, Picha imepigwa kutoka Palm residence pale pembeni mwa Ocean road Hospital.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…