Kuwa mpole annael..zinakam through..Leta street za Nairobi nakusubiri. Mbona unakodoa macho tu. Au unataka nioneshe slums za Nairobi?
Zinakam unaboa bana hebu tuache tuendelee na battle au unatakufanya editing kwanza. Nakusubir kwa hamu.Kuwa mpole annael..zinakam through..
Unaona kutoelewa maswali vizuri..nimesema street view ..kwani beach na resorts zimekuwa streets sasa[emoji23][emoji23]woi..
hehhee anajichanganya tuππππHizo ndizo street view? Au umeleta road view. Kwikwikwi ndiyo maana nikakueleza leta hint badala yake umechemka. Upotayari nikupe hint?
hasira zimepanda au preshaππππMe here watching yal try to convince your egos View attachment 807201
Pole kijana. Unatakiwa ujipange. Naona umeshindwa. Wakenya hamnauwezo wa kujadili. Ona sasa unaanza kuleta mapicha ya ajabu ajabu mwisho wa siku utaanza kutukana.Me here watching yal try to convince your egos View attachment 807201
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hamna presha..nyinyi ndo mumepanickhasira zimepanda au preshaππππ
yani ww kwa namba yoyote dar huiwezi kwa namna yoyoteπππππππ[emoji23] [emoji23] [emoji23] hamna presha..nyinyi ndo mumepanick
Punguza hasira babu na utulie ka maji ya kisima...endelea na mjadala...najua hyo kingereza imekuchanganya akiliyani ww kwa namba yoyote dar huiwezi kwa namna yoyoteπππππππ
unaomba street view alaf unapost road view leo nimecheka sanaππππPunguza hasira babu na utulie ka maji ya kisima...endelea na mjadala...najua hyo kingereza imekuchanganya akili