Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aty compete with @flyethiopia & @kenyaairways [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106] [emoji106] [emoji106] Kudos
nyie bado mnalelewa .......hii air tanzania ni noma sana mambo ndiyo kwanza yanaanza tunawanyosha
 
Geita gold producing region...cheki barabara za wanaoDanganyika πŸ™πŸ™πŸ™
 
wajanja washakula pesa alaf wengine wanafunga barabaraπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

 
Udsm ilitawala sana rankings, ili anguka baada ya kuondoa kitengo cha medicine. Kama Muhimbili ingekua bado ni part ya Udsm sizani kama ingekua inakosa kwenye top 5 Africa. Kuna jitihada zili anza kufanywa kurudisha hiyo idara ila changamoto zikawa nyingi

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Geita gold producing region...cheki barabara za wanaoDanganyika πŸ™πŸ™πŸ™
geita bus stand heheheπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€







nairobi city bus stage si bora tu umuombe MUNGU akupe chakula uleπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…