Are you really saying what you are sure of ? UDSM has never been even in Top 20 in Africa and you are here yapping ati top 5. Even KU beats UDSM hands down. Go and look at recent ranking and confirm for yourself.Hahaha, UDSM imedominate hapo top 5 miaka karibu mitano hapo nyuma, But the truth is UDSM isn't any better than University of Cape town ama university of KwaZulu Natal, au University of Pretoria au University of Witwatersrand,
Nimepita hapo UoN January what I can see is just huo mto wenye vinyesi unaokatisha katikati ya chuo, harufu ni nzito sana pande hizo.
Fanyeni usafi kwanza ndio mtupigie makelele humi
Wacha kutapa leta ya full year, alafu tushaa kwambia last year train ilikua inafanya trips mbili kwa siku sasa ivi inafanya tano kwa siku mwaka huu alafu hapo hatuja gusa cargo.. Juu cargo ndio ita account for 95percent revenues za hii sgrWakati brt ni miezi 8 ndio wamepiga Tsh19bln ,manake hadi mwaka unaisha itakua zaidi ya Tsh23bln...
Sasa pants down ur sgr ni haifikii mapato ya brt, I made my self very clear mkanitukana sahv mnaaibika!!
So 250,000 has changed to 2.5m?Pesa yote ipo kwa wakikuyu na wakalenjinj, wengine mmejazana kibera,
Have u ever asked yourself why kibera alone has 2.5M residents out of 3.4 m residents of Nairobi?
Hapo bado slums nyingine za Hapo Nai.
The answer is Kenya ina wenyewe, nyie makabwela endeleeni kupost picha za Karen na westlands
Wacha kutapa leta ya full year, alafu tushaa kwambia last year train ilikua inafanya trips mbili kwa siku sasa ivi inafanya tano kwa siku mwaka huu alafu hapo hatuja gusa cargo.. Juu cargo ndio ita account for 95percent revenues za hii sgr
Wacha kua mweupe wewe cargo ata haikua imeanza, tunaongelea passenger train ambayo ni kama 5percent ya revenues za sgr ukijumuisha cargo.Ki BRT cha dola million 200 kinashindana na SGR ya Mkenya ππ ukiskia changa la macho ..ndo hili
Nani aliwazuia sasa?mm nmezungumza uhalisia ...hata ivyo ni nyie ndio mnajicheleweshaWacha kutapa leta ya full year, alafu tushaa kwambia last year train ilikua inafanya trips mbili kwa siku sasa ivi inafanya tano kwa siku mwaka huu alafu hapo hatuja gusa cargo.. Juu cargo ndio ita account for 95percent revenues za hii sgr
Udsm, UoN ,Makerere are the same ukitaka kupata kitu cha tofauti you must go abroadAre you really saying what you are sure of ? UDSM has never been even in Top 20 in Africa and you are here yapping ati top 5. Even KU beats UDSM hands down. Go and look at recent ranking and confirm for yourself.
Ujinga hatupendi
They are not the same my friend. This are Africa ranking from 2016, it's only Makerere and Uon ndio ziko top UDSM is not even in top 20.Udsm, UoN ,Makerere are the same ukitaka kupata kitu cha tofauti you must go abroad
As you can see there is no UDSM there.They are not the same my friend. This are Africa ranking from 2016, it's only Makerere and Uon ndio ziko top UDSM is not even in top 20.
2015/2016View attachment 805310 View attachment 805311 View attachment 805312 View attachment 805313
2016/2017View attachment 805314 View attachment 805315 View attachment 805316 View attachment 805317
2017/2018View attachment 805319 View attachment 805320 View attachment 805322 View attachment 805324
2018/2019View attachment 805325 View attachment 805326 View attachment 805327 View attachment 805328
Ulisema from 2006 to 2018 so wait nichekAs you can see there is no UDSM there.
You are free to post it here ukipata.Ulisema from 2006 to 2018 so wait nichek
upperhill inaonekana sana na CBD hahahaAnd that's Westlands only....
Udsm ilikua kubwa sana imezaa Ardhi university and Muhimbili universityHow can you compare a Uon with 98000 students and 8 campuses na UDSM with 19000 students and 5 campuses ?