Wenyewe watakwambia SUPER HIGHWAY [emoji2] [emoji2] [emoji2] na hivyo vidaraja vya Nairobi huwa ni very substandard, tatizo wanaiba sana.Bado inaonekana yakichovu,tumieni pesa zenu kwa weledi mnalipua mno.View attachment 805109
Dunia pana sana ...izo NomaKuna vitu vya kusisimua africa kusini badoView attachment 805178 View attachment 805179 View attachment 805180
😀😀😀😀😀wakishindwa hua wanakua na hasira sanaSindano imegota penyewe. [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Huko kwenye mabasi unachokoza utaweza? Maana Tz iko very advanced at that.Crap... I think ichoboy I should Pay for a ticket Uwekwe Businessclass hadi Nairobi utoe Ubongolala kiasi[emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 805147View attachment 805148View attachment 805150View attachment 805153View attachment 805154
AIBU!!Tulimaliza mjadala wa mabasi. Nilisisitiza mabasi apana vitu za kuringia mKenya. Basi zenyewe mnazitoa Kenya na zinakimbia VICHAKANI kwani 92% of your roads are UNPAVED.
MABASI ni vitu za kumfurahisha mTZ. Nyinyi bado watoto mnaringia mabasi.. Yaani BUSES!
Nawaonea HURUMA sana. View attachment 805195
TUUSAN ata wewe unaringa juu ya MABASI?Ziko Mercedes,And the likes sasa sio izo balaa unaleta hapa
TUUSAN nafikiri tunakubaliana hapa pia.TUUSAN your silence is golden! Hivi basi hakuna! Tufunge mjadala au LA?
Ama tuiweke on hold hadi mwaka mtapata hiyo bullet train. Juu so far (2018) bado hamuwezani na NBO
Nilimjibu ndugu yako huyo buses sio kitu cha kuringia sasa unahamishia lawama kwangu tenaTUUSAN ata wewe unaringa juu ya MABASI?
TUUSAN unaniangusha mkuu
Huu mjadala ni wewe tu namna ya kuufanya uwe endelevu...unaweza ukadodosa anything you want to know na ukajifunza mbali ya kua ni battle...sasa or seems ur fed up already which is technically not Okey for battle healthTUUSAN nafikiri tunakubaliana hapa pia.
Itabidi mmetia fora. Muwe watu wakakamavu
Hapana TUUSAN. Wewe pamoja na wenzako mnaleta mapicha za mabasi na kuringa eti Kenya hamna buses kama hizo. Eti mabasi zenu ni mabasi za mbinguni.Nilimjibu ndugu yako huyo buses sio kitu cha kuringia sasa unahamishia lawama kwangu tena
Chunga sana huku watasema si NBO bali ni BUDAPESTWESTY 🙂🙂
Basi za mbinguni[emoji23] [emoji23]Hapana TUUSAN. Wewe pamoja na wenzako mnaleta mapicha za mabasi na kuringa eti Kenya hamna buses kama hizo. Eti mabasi zenu ni mabasi za mbinguni.
TUUSAN tulikubaliana mabasi si vitu za kuleta hapa. Naona wewe unafuatilia lakini wenzako baana!
Wenzako wanakuaibisha na kuiaibisha nchi.
MABASI?
BUSES?
TUUSAN huu ndio way forward! Napenda sana hii! Nitafurahia kujifunza vitu ambazo sijui.Huu mjadala ni wewe tu namna ya kuufanya uwe endelevu...unaweza ukadodosa anything you want to know na ukajifunza mbali ya kua ni battle...sasa or seems ur fed up already which is technically not Okey for battle health
Hapa Dar haigusi.