Alafu kwani kuna shida gani ku transport maua?Only Isiolo the rest ni passengers.. Infact sahii hakuna difference ya Mombasa na JKIA you can enter and exit the country from any side not entirely JKIA
[emoji23] [emoji23]yani ukimsikiliza mkenya kwa sifa unaeza sema kenya iko europe kumbe ni ile iko africa haina chakula watu wanakufa kila mwaka😀😀😀😀
Wazee wa BRT ONLY...mnadhani brt ni kama kutafuna bajia!!What is BRT!? Just Buses na Vibanda za Kupandia along the road no big deal at all
Bagia na ujikwenu imezidi sana 😀😀😀😀 hao civil engineers walienda kula bajia shuleni
Hahaha, UDSM imedominate hapo top 5 miaka karibu mitano hapo nyuma, But the truth is UDSM isn't any better than University of Cape town ama university of KwaZulu Natal, au University of Pretoria au University of Witwatersrand,Kuja ujionee. UoN si POROJO. Labs unazosema ziko. There's a reason UoN is in the top 10 universities in AFRICA
POVU usiuzibe akili yako. Wacha WIVU
Hasa nikubane apo apo,inawezekana vipi jengo lijengwe bila usimamizi wa board ya hao wahandisi?Yaani kibali cha ujenzi kinatolewa kiholela tu?Kwa sababu Wakenya watu wa kupenda ujanja. Hizo collapsed buildings zilijengwa na QUACKS. Yaani watu wanaojua construction lakini hawana professional background in engineering.
Kama ingekua ni engineers wamedesign na structure ikafeli au kuCollapse ungeskia wametolewa kwenye list of practising engineers, at the ENGINEERS BOARD OF KENYA (EBK).
KENYA kuna taratibu. Kenya is not a marketplace, ndugu!
Ndio mje mjifunze Tz, we are so serious kwenye hilo msee, tena kwa Dar hasa ukizingatia tupo ufukweni.Kwa sababu Wakenya watu wa kupenda ujanja. Hizo collapsed buildings zilijengwa na QUACKS. Yaani watu wanaojua construction lakini hawana professional background in engineering.
Kama ingekua ni engineers wamedesign na structure ikafeli au kuCollapse ungeskia wametolewa kwenye list of practising engineers, at the ENGINEERS BOARD OF KENYA (EBK).
KENYA kuna taratibu. Kenya is not a marketplace, ndugu!
Ndugu, Fika UoN uujue vizuri. Mto gani unapitia katikati ya chuo? [emoji23][emoji23] wewe acha ndoto.Hahaha, UDSM imedominate hapo top 5 miaka karibu mitano hapo nyuma, But the truth is UDSM isn't any better than University of Cape town ama university of KwaZulu Natal, au University of Pretoria au University of Witwatersrand,
Nimepita hapo UoN January what I can see is just huo mto wenye vinyesi unaokatisha katikati ya chuo, harufu ni nzito sana pande hizo.
Fanyeni usafi kwanza ndio mtupigie makelele humi
Toka umejoin JF wiki mbili zilizopita hujalog out, halafu unaongea maneno zako za kashfa,TanzaGIZAstans ukitangamana nao hapa JF kama mKenya inabidi uki log out, uende uoshe akili na JIK kutoa ujinga huu wote.
Eish! Yaani nyinyi ni kama a different breed of the human species. Unaeza dhania tanzaGIZAstans bado wako kwenye stage ya HOMO HABILIS.
Akili ndogo sana kuliko sabuni za lodging
OK then tell me exactly what Malls does Dar has[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] did you know that Nakuru alone is ahead of Dar interms of Malls weka Mombasa kando Nairobi hata usiongelee I can give you Five Malls in Nairobi beating all malls in East Africa and interms of Artitecture seriously what artitecture does Dar have? Westlands alone imengoa dar mzima your artitecture is extremely Boaring to add on it you have completely nothing interms of artitecture cheap buildings make up your townElimu ipi? [emoji23] [emoji23] ,malls gani inaweza mshawishi mtz aje shop NBO? Yenyewe mall za maana apo NBO ni mbili the rest ziko sawa na za Dar mngekua nazo kumi tungekunywa maji??majengo gani mko nayo?britam,prism zote ni copy &paste kutoka NEW YORK buldings of empire building & prism , Tena isitoshe bado hazifikii hata Kwa mliocopy...
Nyumba gani Kenya mnahisi inakitu kipya?walau kicc japo karibia liwe gofu
umeanza kuleta matakataka yako hapa..hiyo midude mtapanda nyinyi mkileta bongo hakuna mtu atapanda such ugly buses..!!Oh and also ICT giants too[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sisi Kama Youths wa Kenya tumedevelop Matatu culture industry and it is now a technical Boom... Don't forget M pesa and Sportpesa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
From transport to technical Kenyan gaming Industry big up..
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 804933View attachment 804934View attachment 804936View attachment 804937View attachment 804938View attachment 804939View attachment 804940View attachment 804941
NOMA SANA! [emoji106][emoji108]
we jamaa ulisema umesoma UON???kwa hiyo we umeelimika??na unaamini katika hizo stages homo erectus,sijui homo habilis,sapiens???TanzaGIZAstans ukitangamana nao hapa JF kama mKenya inabidi uki log out, uende uoshe akili na JIK kutoa ujinga huu wote.
Eish! Yaani nyinyi ni kama a different breed of the human species. Unaeza dhania tanzaGIZAstans bado wako kwenye stage ya HOMO HABILIS.
Akili ndogo sana kuliko sabuni za lodging
Hatutumii hizo Isuzu tena man, we no longer belong there,Oh and also ICT giants too[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sisi Kama Youths wa Kenya tumedevelop Matatu culture industry and it is now a technical Boom... Don't forget M pesa and Sportpesa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
From transport to technical Kenyan gaming Industry big up..
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 804933View attachment 804934View attachment 804936View attachment 804937View attachment 804938View attachment 804939View attachment 804940View attachment 804941
NOMA SANA! [emoji106][emoji108]
Hizo buildings ambazo umeskia zimeCollapse mostly umeskia ni katika sehemu gani? Ni kwenye slums na informal settlements. Hapa ni landlords (wenye kumiliki ardhi) huongea.Hasa nikubane apo apo,inawezekana vipi jengo lijengwe bila usimamizi wa board ya hao wahandisi?Yaani kibali cha ujenzi kinatolewa kiholela tu?
Elimu mnayosiemea hapa ni ipi??nakwambia elimu yenu bado ni ya kizamani Hamna kipya
Mto Nairobi, halafu be serious, Nionee wivu Uon? [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Ndugu, Fika UoN uujue vizuri. Mto gani unapitia katikati ya chuo? [emoji23][emoji23] wewe acha ndoto.
UDSM ni highschool gani? udsm katokea kwenye list gani? Ndugu UoN is the 7th best university in AFRICA
Punguza WIVU
Unajua kwa Mtanzania Hajawahi toka Bongo those words are common. Mnajiconsult hapa aty pesa ni za wakikuyu MLIDHANI Kenya ni Tanzania[emoji23][emoji23][emoji23] wapi kenya Umeskia Kuna Bank inaitwa Kikuyu Jaluo Bank[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] then you speak as if Nairobi is Dar where every Bongolala Run to... Kenya Nairobi is just one of the cities... People go there to do business... Watu huishi Mombasa, Nakuru, Kisumu/ Nairobi Metros Nairobi si ya mtu this is a Business city not a settlement zonePesa yote ipo kwa wakikuyu na wakalenjinj, wengine mmejazana kibera,
Have u ever asked yourself why kibera alone has 2.5M residents out of 3.4 m residents of Nairobi?
Hapo bado slums nyingine za Hapo Nai.
The answer is Kenya ina wenyewe, nyie makabwela endeleeni kupost picha za Karen na westlands
Wee ngombe mimi akili yangu kuu sana. Mimi nilisema hapa nimekuja kuwaelimisha na kuwapunguza ujinga. Hii ni a HUGE FAVOR I'm doing you. Kama bado hujaelimika rudi ZIZINIToka umejoin JF wiki mbili zilizopita hujalog out, halafu unaongea maneno zako za kashfa,
Huku kutamu Dada, ndio maana huchomoki. Sio kama kule Ktalk mitusi na mnaangalia ponograph 24/7
No you Junk I was Boasting about the New Game the Industry Launched[emoji23][emoji23][emoji23] nyinyi Mko na gani... We are the ICT junks of Africa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]umeanza kuleta matakataka yako hapa..hiyo midude mtapanda nyinyi mkileta bongo hakuna mtu atapanda such ugly buses..!!
Hahahaha, Yaani mkenya amuelimishe Mtanzania?Wee ngombe mimi akili yangu kuu sana. Mimi nilisema hapa nimekuja kuwaelimisha na kuwapunguza ujinga. Hii ni a HUGE FAVOR I'm doing you. Kama bado hujaelimika rudi ZIZINI