Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi Urban Clothing, local brands.

I love Nairobi Tshirt by Duchi

M&B clothing

VAZZI Clothing

Epic Nation

Warn Trends

Wan Fam Clothing
 
Naona facts umeishiwa wewe sasa hio unatuonesha nn au ndio inasaidia development au hhhahahahhahahahahhaha hauna tofaut na wanjala aliyuonesha farmajo kaja hahahha sasa farmajo anasaidia nn
 
Wewe unadhani City ni majengo tu wewe ni mshamba umekuja town juzi, kuna kitu huitwa urban lifestyle. Kama huna jibu ungenyamaza sio kunijibu upuzi.
 
Hahahhaahahha urban life utaiweza bongo wewe hahahha hii ndio city of pleasure hakuna mfano wake....hakuna sehemu utatoboa mbele ya dar niliwaambie ingizeni kisumu na mombasa na bado hamutoboi hahhhahhahahhaa
 
Mdomo mingi haisidii, act your talk au unyamaze.
 
We hua hujiuliza kwanin manzi wengi wa Nai wanapenda machalii wa bongo au hilo nalo hujui ahhaahhaha wanapenda free style za bongo watu wanajua kuvaa na kuonesha swaga sio nyie kwenye jua Kali mtu kalazmisha avae suti huku jasho zinamtoka hahhahahahhaahha bongo hatariiiiiiiiiiii
 
Well looking into the addition of Nairobi as world class city, is the Nairobi South, beautifully designed and executed. Now that a passenger line is linking the CBD and JKIA, you can only imagine how big this infrastructure will be, it is going to ease life in Nairobi by another 5%
 
One thing i love about Nairobi is always trying to be better than yesterday improving on things that make life easier and better
Outer Ring

Dualing of Northern By pass

Mwendo wa video sasa. GSM Mall, Dar es salaam

Hahahhaahahha urban life utaiweza bongo wewe hahahha hii ndio city of pleasure hakuna mfano wake....hakuna sehemu utatoboa mbele ya dar niliwaambie ingizeni kisumu na mombasa na bado hamutoboi hahhhahhahahhaa
We unasema nini sasa, vile unaongea hata, sidhani kuna dem wa Nairobi anaeza ingia box yako. You are two different worlds aparts, form zako zinakaa za kuboeka tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…