Halafu bahati mbaya wamekuja Dar.. trust me soon utasikia wengine wamesajiliwa Stand utd, Mbeya city and the likes. Kwanza viwanja wanavyo chezea Dar ni motisha tosha kukataa kurudi Kenya.na atawasimulia wenzake....
Yaaani dar ya 2018 hadi rahaππππmkifikia level hii munitag
wamepost mpaka wakawa wanarudia each secondππHizi tumezoea bana.. Inavutia lakini tunataka kuona more of Dar. Hii ni post ya karibu laki moja lakini bado Dar mnatuonyesha ni ile ile tu
ukweli gani ww walikuwepo wenzako wengi tu wakina wanjala ilibidi wakimbie mpaka leo hawajarudiππNakulisha ukweli tu mkuu
mm nakulisha utamu heheh CBD utasema ilipigwa bomu πππ±Nakulisha ukweli tu mkuu
hapa ni utamu tuπππππNakulisha ukweli tu mkuu
Inaonekana walikimbia kwa sababu kujadiliana na wewe pamoja na wenzako ilikua shida. Mimi nitaPost NAIROBI na kuwavumilia piaukweli gani ww walikuwepo wenzako wengi tu wakina wanjala ilibidi wakimbie mpaka leo hawajarudiππ
Sasa hiyo ndio NBO yetu mkuu. Hapo ndio CBD yetumm nakulisha utamu heheh CBD utasema ilipigwa bomu πππ±
View attachment 801295 View attachment 801296
Yaani hauna aibu ukilinganisha huu uchafu na na nairobi π³ππππNbo haifiki ata Pretoria kuizidi Dar tabu ndio iwe jozi au kuala lumpur uchizi unatiba wahi sasa
halafu mikenya inayopiga kelele niyahapa JF na niwale ambao hawajawahi fika dar ni nimaskini sanaHalafu bahati mbaya wamekuja Dar.. trust me soon utasikia wengine wamesajiliwa Stand utd, Mbeya city and the likes. Kwanza viwanja wanavyo chezea Dar ni motisha tosha kukataa kurudi Kenya.
ππππππππππππ asante sanaSasa hiyo ndio NBO yetu mkuu. Hapo ndio CBD yetu
uhahaha walikuwepo watu zaidi yako wote wameshakimbia ndio maana nikakukaribisha kwanza karibu sanaπππππππInaonekana walikimbia kwa sababu kujadiliana na wewe pamoja na wenzako ilikua shida. Mimi nitaPost NAIROBI na kuwavumilia pia
Sisi tunaifurahia na kuikubali JIJI KUU
Dar ni uakulinganisha na Mogadishu yaani hii video ilinifungua macho kumbe kijitonyama ni majego kumi amnayo yamezungwa na uswszi alafu mnalinganisha na upperhill π³π³Nbo haifiki ata Pretoria kuizidi Dar tabu ndio iwe jozi au kuala lumpur uchizi unatiba wahi sasa
huyo tunamjua mzee wakuhamisha magoli anaokota picha za nigeria na sieralione anasema dar na tulishamuumbua sana humu ndani rudi page za nyuma ukajionee vitukoππππ wengine walipost mpaka picha za india wakasema darSisi tunaifurahia na kuikubali JIJI KUU
Nacheki nyinyi mnakataa kuikubali mji wenu. Sasa Itakuaje Dar imeizidi NBO kama wenyewe hawaifurahii mji wao? [emoji23] [emoji23]
Ingekua vizuri kuchukua hizo picha unazodai kua sio Dar na kupost na sehemu hizohizo za Dar halisia ili tulinganishe na tubainishe kua ukweli hapo si Dar.. Bure tutakubali hapo ni Dar mkuuhuyo tunamjua mzee wakuhamisha magoli anaokota picha za nigeria na sieralione anasema dar na tulishamuumbua sana humu ndani rudi page za nyuma ukajionee vitukoππππ wengine walipost mpaka picha za india wakasema dar
mukizidiwa ndio hua munafanya hvoπππ
Interesting, Tz built these things in 1970's, 2018 Chinese are building it for you, so funny.Ongoing SECOND PHASE of the SGR. 1st phase is long done. This is the NAIROBI-NAIVASHA SGR on its way to KISUMU then to UGANDA and eventually KIGALI View attachment 801174View attachment 801175View attachment 801176View attachment 801177View attachment 801178View attachment 801179View attachment 801180View attachment 801181View attachment 801182
Watanzania wote wenye akili timamu kujeni hapa mhakikishe hapa sio darhuyo tunamjua mzee wakuhamisha magoli anaokota picha za nigeria na sieralione anasema dar na tulishamuumbua sana humu ndani rudi page za nyuma ukajionee vitukoππππ wengine walipost mpaka picha za india wakasemaπππdar
mukizidiwa ndio hua munafanya hvoπππ