nakwambia jaribu uone hehehe wala sihitaji porojo anza alaf uone wewe unacheza na moshi hio nakuru na eldoret hazinusi moshi hata kwa ukuchaπππI know you want me to show you pictures because you are least traveled you get to know kenyan towns. Kweli JF imekusaidia
yap mbavu ni zako na si za mwingineπππMbavu zangu ona huyu analeta slum kulinganisha na nanyukiπππππ
yet 90% of Tanzanians still live in mud walled houses......
ilete hapa twende kaziπππ si hua munajifanya munadharau sana ilete sasa uone kama sikuharibu usiku wako leomusoma tunapatia keroka pale kisii area
na hii wanaita chipsi jikeππππ
Nanyuki ka town kadogo sana bt design ni za kimaitaifa za nyumbaView attachment 799849 View attachment 799850 View attachment 799851 View attachment 799852 View attachment 799854
πππππ Icheoboy nimeamini ni wazimu leomusoma tunapatia keroka pale kisii area
70% of tanzanians are farmers so je ni 70% of german people are farmers???πππ usitumie nguvu nyingi kwenye hesabu ni akiliWrong.... If it were so you would be better than Germany. Too sad you only hear that. The real truth 70 % of you live below poverty line..... Msijali... Mungu atawasaidia
jaribu basi alaf tuone mbona waoga sanaπππππππ Icheoboy nimeamini ni wazimu leo
Niletee slum ingine hadi rahaππππyap mbavu ni zako na si za mwingineπππ
watu wakorofi yaani wakiandika neno "kibera" tu haitoshi lazima waongezee neno "slum".. hahaahahaahaa yani "kibera slum"
hao ombaomba toka nimewaskia sikuawah kuskia wamerudishwa kwaoπππππichoboy in your head you think that your poverty rate is at 22% ....!!!!!!!....hahaha
Then why are you a least developed country ama omba omba Tanzania is a form of employment.....?
Unemployment ya Spain or Greece is at 40%
ndio slum kubwa zaidi duniani sasa lazma waipe sifa yakeππππππwatu wakorofi yaani wakiandika neno "kibera" tu haitoshi lazima waongezee neno "slum".. hahaahahaahaa yani "kibera slum"
Najaribu nini nanajua najishusha hadhi, yaani nakuekea nanyuki town yenye nyumba za kimataifa alafu we unaeka kijiji slum ati musomaππππjaribu basi alaf tuone mbona waoga sanaππ
you try and see
jaribu kugusa mkoa wowote tanzania nikuoneshe kama sijakutoa makamasi usiku huu πππNiletee slum ingine hadi rahaππππ
kama unajiamini leta huo utumbo wako nikuoneshe heheheh mulijua tanzania ni ile ya 90sπππNajaribu nini nanajua najishusha hadhi, yaani nakuekea nanyuki town yenye nyumba za kimataifa alafu we unaeka kijiji slum ati musomaππππ
moshi ndio kiboko ya nakuru na eldoretππ
lets go jaribu twende kazi sasaπππMoshi unaipa Voi ama Kilifi
kama unajiamini leta huo utumbo wako nikuoneshe heheheh mulijua tanzania ni ile ya 90sπππ
we try and seeπππ we ni mwanaume jaribu sasa