El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
you will bring all the stats but the reality sucks you, Kenya na football wapi na wapi? wale wachezaji wenyewe wa Gor mahia utadhani wametoka mashimoni, Wanatisha yule stricker aliyefunga first goal kila wakati yupo offside position, Nguvu Kibao dah kama Vifaru aisee.
halafu hata kurusha matangazo ya mpira hamuwezi, why dont that sportpesa hire AZAM, a professional Media to air this bonanza.
Hapo naona Kenya wako na Trophy 16 to Tanzania 12 saa sijui unasema niniKwikwikwikwi. Ona sasa ulivyo mweupe kichwani hapa tunaongelea Simba kijana na Go Mahaya ipi ni bora. Mbona unatoa povu. Sasa hivi naanza kushusha nongo. Mtakimbia ninavyowajua.
timu zenu zimezoea kuchezea kwenye mashamba ya viazi!!simba mpira wao burudani, pasi nyingiii,wao huwa wanatandaza soka safi kabisa,sasa uwanja wenye pitch mbovu kama ile pasi unapigaje??ukipiga pasi mpira unadunda dunda hovyo hovyo!!simba hawajazoea kucheza kwenye uwanja mbovu kama huo..OK,next tournament is kagame in dar,pitch zitakazotumika ni national stadium na chamazi!!the best football pitches in E.A.The stadium was not poor. If it were, it would be for both teams.... Your players are just to weak for life....
Hapo naona Kenya wako na Trophy 16 to Tanzania 12 saa sijui unasema nini
timu zenu zimezoea kuchezea kwenye mashamba ya viazi!!simba mpira wao burudani, pasi nyingiii,wao huwa wanatandaza soka safi kabisa,sasa uwanja wenye pitch mbovu kama ile pasi unapigaje??ukipiga pasi mpira unadunda dunda hovyo hovyo!!simba hawajazoea kucheza kwenye uwanja mbovu kama huo..OK,next tournament is kagame in dar,pitch zitakazotumika ni national stadium na chamazi!!the best football pitches in E.A.
Hey fool !! We are in 2018. Acha kutuletea vitu za 2001 hapa. Hata AC Millan was best team in the world between 2000- 2007 but saa ii hata hawako kwa list of top 20 teams in the world.Yani nimegundua hawa ndugu zetu walikuwa wamekamia sana. Kutokana na Ranking hizi walikuwa wametumwa kuua siyo kutoa burudani. Hebu soma hapa kidogo:-
Simba SC rated best club in East Africa
you can take it or notThe best liars and the best sorcerers in East Africa is more like it.
Kenya have won this cup 16 times while tz has won 12 timesTwende kazi. Team za Kenya ni kama uyoga tu. Hii hapa Statistic
View attachment 799577
View attachment 799579
View attachment 799582
Huyu Annel hajui anything, analeta picha bila kucountπππKenya have won this cup 16 times while tz has won 12 times
Tuko 2018 broh acha kutuletea vitu za 2001πππYani nimegundua hawa ndugu zetu walikuwa wamekamia sana. Kutokana na Ranking hizi walikuwa wametumwa kuua siyo kutoa burudani. Hebu soma hapa kidogo:-
Simba SC rated best club in East Africa
Huyu Annel hajui anything, analeta picha bila kucountπππ
Wacha kuitana mwenda wazimu let link[emoji23] [emoji23] [emoji23]mwendawazimu wewe rudia???ππππ
nimekuomba ofisi ya gor mahia iko wapWacha kuitana mwenda wazimu let link[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unakumbuka Gor Mahia walipoingia Finals vs Azam Fc, What hapened?Now you believe Kenya =Tanzania +All your animals +Your trees +Everything you own and value.
Unakumbuka Gor Mahia walipoingia Finals vs Azam Fc, What hapened?
4.4% growing economy vs 7.2% alaf unasema munaendelea munaendelea kwenda wapi??ππThe fact that our economy is always rising even with little resources and challenges here and there..... Is killing you people. I am sure you don't understand why.... Si uchawi bana na sii links. It's hard work
walinyukwa mbili za adabuππππUnakumbuka Gor Mahia walipoingia Finals vs Azam Fc, What hapened?