Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nakwambie usije enda kusimama mbele za watu ukaita thika ni 10lanes utachekwa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€zimeungana vp wakat hzo zinaruhusu kuingia na kutoka highway
Nimekuuliza zinaitwa aje? Sijakuuliza uniambie rumours.
 
Dar nzima kuna nyumba ya kulipwa Ksh400,000 per month? Nyumba kama hizi zimejaa maeneo ya Karen, Runda, Muthaiga, Lavington, Spring Valley, Ridgeways, Lower Kabete, Gigiri na kadhalika
hio iko magomeni dar es salaamπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
hii ni 10 lanes ww akili unayo kweli hio ni 8 lanes hvi 10 lanes unaijua vzr weweπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
ukisogea pale mbele kidogo road imeisha inakuwa 3lane yaan ni hiko kipande tu.....wakenya kweli cheche za mavi ya mbuzi[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
inzi kwenye nyama! yaani nyumba za dar shida aisee..
kwa vile nzi hawapo nairobiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
vile nairobi iko europeπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
matatu zimejaa kunguni
 
terminal 3 inawatoa roho wakenya hawana hamuπŸ˜€πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜€πŸ˜€
Hawa watani zetu wasipojipanga vyema ndani ya miaka kumi na tano watapata shock maana pang'ang'a nyingi hakuna wanachofanya Tz ina misuli tunachohitaji ni kuweka vtu pamoja na huhakikisha kila tunachofanya tunapata matokeo chanya calculated risk,strategies,plans,implementation,manage,matokeo chanya here we go,huu ni wakati wetu wa kujikusanya vijana tupo wenye uwezo mkubwa na vision pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…