Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kazi kuzaana kama panya
KENYA
Total fertility rate 2.98 children born/woman (2017 est.)

TANZAGIZA
Total fertility rate 4.77 children born/woman (2017 est.)
Ha ha ha ha ha....
 
lete na ya danganyika 'live' pia
lakin kwenye unemployment rate hua hamuuliziπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kwasababu kuna donda kubwa na siku zote nzi kufa kwenye kidonda ni halali yakeπŸ˜›πŸ˜›

40% vs 2.7%

population 50 vs 53.4
 
lakin kwenye unemployment rate hua hamuuliziπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kwasababu kuna donda kubwa na siku zote nzi kufa kwenye kidonda ni halali yakeπŸ˜›πŸ˜›

40% vs 2.7%

population 50 vs 53.4
Ok
 
ati 2.7% [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hata muuza njugu pia anahesabiwa kuwa na kazi [emoji23] [emoji23] issokay [emoji23] [emoji23] [emoji23]
sasa wacha nikufundishe kumbe ulikua hujui
70% ya population tanzania ni farmers my friend
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ pole sana kwa maumivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…