kwanza unajua status ya LDC???😀😀😀screenshot pahali inasema Tz haiko ldc ulete hapa. unadhani kutoka ldc ni kuamka siku moja na kusema kuanzia leo sisi hatuko ldc?? sio?
yaani wamebaki wanatoa porojo na povu mda wote....hawaamimi kwamba tz ya sasa sio ile ya miaka kumi iliyopita.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umeomba link umepewa kua tz sasa hvi haiko LDC bado wewe unataka nn😀😀😀😀
nyie tunawajua siku nyingi sana hakuna mkenya anaeitakia tanzania mema never ever ndio maana tuta deal nanyie kisawasawa
sijui.kwanza unajua status ya LDC???😀😀😀
bishana na mm kisomi sio uniletee chawa zako hapa
hahaha wataamini tu safari hii tuko na chuma magu kiboko yao😀😀😀😀😀😀yaani wamebaki wanatoa porojo na povu mda wote....hawaamimi kwamba tz ya sasa sio ile ya miaka kumi iliyopita.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
go google and read, mzungu hakuweka google muangalie kama sanamu alieweka hapo tusomesijui.
hivi inakuwaje mpaka nchi inakua kwenye kundi la ldc?
pigwa na jua Jibaba.sawa kanjo askari wa nairobi city council, tumekusikia.[emoji23]
ukimaliza kukimbizana na hawkers kwa street za CBD nitafute jioni nikununulie chupa kadhaa za beer. [emoji482] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
it is a sin to compare A manyanga to TZ BRTAty BRT [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]inakaa Kama clinic wagonjwa wakingoja matibabu... takataka hio Ebu compare the two.. Nairobi has got Swag & TalentView attachment 795166View attachment 795167
another onego google and read, mzungu hakuweka google muangalie kama sanamu alieweka hapo tusome
yah sure it a sin to compare modern public transport in africa ( tz BRT) and those kunguni poor bus😀😀😀😀😀😀it is a sin to compare A manyanga to TZ BRT
bora wewe umeongea buda. shukrani sana. manyanga ni takataka kubwa sana kwa brt.it is a sin to compare A manyanga to TZ BRT
Tye tye tyehao wa ufipa mi mwenyewe siku hizi nishawapuuza. wanapinga kila kitu.
ni vizuri unamtambua octo. here's his latest trackKENYAN BOY huyo OCTOPIZZO