wewe niamini mimi sportpesa ni kivuli kwetu haina impact kubwa kwa club zetu........ndiyo maana hatukuwatafuta walijileta wenyewe nakuanza kuomba omba udhamini......tukaona ngoja tuwahurumie.....muonekano na ndivyo hivyo hivyo mkaenda kuomba baadhi ya club 2,3 za uingereza nao wakawahurumia......Kuna mmoja wao alikuwa akinyamba hapa eti sportpesa haina pesa za kuwawezesha kusponsor hizi vilabu zao za ujinga simba na yanga wakati hata sasa jezi wanatumia ineandikwa sportpesa!! Hawa watu ni vilaza kweli
harafu wanakuja hapa mapambio ya sportpesa sportpesa .........kwanini wasizinyanyue team za kenya zikawa level yakifedha kama kweli wanapesa......sasa mbona hawaidaidii gor mahia kua na maendeleo😀😀😀😀 team miaka 50 haina hata harufu ya ofisi
Mkubwa hivyo unatumia tecno [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ii hapa ninyanyako ama, ati East Africa ni Makerere pekee...View attachment 793936 nkt
alaf anakwambia link haiwezi ku copy na kupaste hapa😀😀😀😀Mkubwa hivyo unatumia tecno [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
heheh team za kenya hazina kichwa wala miguu kwenye maendeleo yani ni vichekesho😀😀😀😀harafu wanakuja hapa mapambio ya sportpesa sportpesa .........kwanini wasizinyanyue team za kenya zikawa level yakifedha kama kweli wanapesa......
ndiyo maana nawaambia sportpesa haina tija kwetu hata hatuifikirii
Simba wamengangana Kama Punda na hio ni clabu ndogo... Home Boyz Wataweza kweli??? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Lakini Big up kwenyu... Sikutaka mtolewe Mapema Nataka Mike Finally... Ndio Mkutane na Baba yao.. Gor!!!wapi kariobangi washaenda kulala kwenye slums😀
Hata mimi Lakini sioni wakitoboa.. Home boys Sasa ndio Stima hio INAWEZA predict 4:1 Home boys 4 Simba 1 aky.... Kama Kariobangi iko ya saba kwa Ligi na Imeikimbiza simba?? Home boys si itawakarangaNaona penalti imewaokolea sana. Natamani mmalize mkutane na Gor
Simba wamengangana Kama Punda na hio ni clabu ndogo... Home Boyz Wataweza kweli??? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Lakini Big up kwenyu... Sikutaka mtolewe Mapema Nataka Mike Finally... Ndio Mkutane na Baba yao.. Gor!!!
uwanja mbaya ukipiga pass mpira unakata Kona uwo ni uwanja au shamba? matuta kibao utapigaje pass inyooke? tengezeni uwanja kwanza.Kazi yao tu ni kutaja neno slum yet as a big team in that Dangagiza they were not even able to string any meaningful passes...... Kumbe hakuna kandanda huko kabisa. Watu wa mchele. Duuuh
ATA mi naona ni India[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Yani unacook hadi Ukweli!!? Kwani Google yako Tanzania ni India?? Hizi ndio takataka nimepata pinga sasaView attachment 794221Young Boy don't mess with me.
Usije ukajikuta uchi. Sisi tunakuletea taarif toka Kenya aka nairobi wewe unaleta mbwembwe.
Is Childish
Hapa ni India
View attachment 793738
India Shines!
Kama huna cha kusem kaa kimya. Stupid
Unaposema maendeleo unamaanusha nini haswa wakati hata hizi timu zenu tajika bado zinapata ufadhili kutoka kenya? Ama maendeleo ni nucharzwa mabao kila time katika international matches? Kama hiyo ndo maendeleo then wacha tu ikae ila nataka kukukumbusha kwamba ile level ya maendeleo Gor imepata hadi kufikia sasa hizo team zenu takataka za yanga na simba hazitawahi fikia milele. Just in case you didn't know, Gor is the only team in east and central Africa to ever lift a continental tittle jambo ambalo litabaki kuwa ndoto kwa yanga na simba. Hiyo ndio maendeleosasa mbona hawaidaidii gor mahia kua na maendeleo😀😀😀😀 team miaka 50 haina hata harufu ya ofisi
Kwani hii yanga yenu lazima icheze Dar ndo ishinde mechi!? Siku zote mchagua jembe sio mkulimamechi haukupigwa dar
Wewe tulia timu zenu zipewe pesa, pengine sasa zitaanza kupambana na wanaume kutoka sehemu zinginezo africa na waache kuchapwa chapwa kila timenakwambiaje hapo hakkuna kitu......ni upepo tu......kusign siyo tatizo hata wewe kama unania unaweza ukanitafuta mimi tufanye bizness na nikakupa akili kubwa na ukaweza weka chata yako kwa jez pale mbele hata kwa madrid ama barcelona.....
Hpa nikusema na Kutenda Hii Kenya si Tz... Pace ni yetu 2030 bado mbaaali..konza na tatu zikwapi???😀😀😀😀 oilpipeline iko wapi??? stdium upgrade ziko wapi???
ukiandika jambo hapa sio private tena!yaani ukishapost tu basi si jambo la kwako peke yako, lishakuwa public..!!sawa slum dweller??Nani alikuwa akiongea nawe kijana wa mbagala? Nimemuuliza mwenzako maana ya 'first personal pronoun' aliyosema so ungefanya vizuri kama ungemsaidia badala ya kuingilia mambo yasiyokuhusu
Hehehe....I love the tone in your voice...It tells of a person so hurt by the current events but doesn't want to show it so he only resorts to using words which are carefly chosen and meant to massage his ego. eti kuhurumiwa. Go on boywewe niamini mimi sportpesa ni kivuli kwetu haina impact kubwa kwa club zetu........ndiyo maana hatukuwatafuta walijileta wenyewe nakuanza kuomba omba udhamini......tukaona ngoja tuwahurumie.....muonekano na ndivyo hivyo hivyo mkaenda kuomba baadhi ya club 2,3 za uingereza nao wakawahurumia......
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] maneno ya mlevi tungi likizidi punde anapovesha miwani zaidi......hata analoliongea huwa halitambuiUnaposema maendeleo unamaanusha nini haswa wakati hata hizi timu zenu tajika bado zinapata ufadhili kutoka kenya? Ama maendeleo ni nucharzwa mabao kila time katika international matches? Kama hiyo ndo maendeleo then wacha tu ikae ila nataka kukukumbusha kwamba ile level ya maendeleo Gor imepata hadi kufikia sasa hizo team zenu takataka za yanga na simba hazitawahi fikia milele. Just in case you didn't know, Gor is the only team in east and central Africa to ever lift a continental tittle jambo ambalo litabaki kuwa ndoto kwa yanga na simba. Hiyo ndio maendeleo
sawa boss[emoji2] [emoji2] [emoji2] mzee wa kusportika na sportpesa .......Wewe tulia timu zenu zipewe pesa, pengine sasa zitaanza kupambana na wanaume kutoka sehemu zinginezo africa na waache kuchapwa chapwa kila time