Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani Tanzanians Wakifika Level ya Kufanya Biashara na kenya Wao hujiona Wamefanya Miujiza Kubwa sana...

azam ni brand kubwa sana africa.
haifanyi biashara tu kenya peke yake bali nchi nyingi sana za africa na nje ya africa.

hizi ni baadhi tu.[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23]


hapo sijataja Zimbabwe na zambia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
sio tz tu, EA africa nzima. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Nataka Prove.. Aty azam What?? [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hio Azam haifiki hata Quota ya M Pesa na Unalialia hapa Azam[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Watajua Hawajui.. Simba imeamka
mchezo wa wanaume kulaliana....huyo simba aliyeamka bila shaka ni yule simba shoga wa kenya. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]

 
Hya M Pesa inatumika World wide sahii na SPORTPESA na Bado Unapiga mdomo hapa aty Zimbabwe.. Meaning Hio azam yenyu tunaweza compare na companies Kama Tuzo na Broockside
 
huwezi mpangia mtu aite bidhaa yake ama kampuni yake jina ulipendalo angali mali si zako.......

kipi kinachokuuma...[emoji2] [emoji2] [emoji2]
we ni kiumbe wa ajabu sana yaani unadiscuss kitu ambacho hata hakikuhusu
 
Hii Azam yenyu ni kampuni zero hadi Kampuni ndogo ndogo kenya Kama Brookside na Tuzo zimeitoa... Bure kabisa
povuuuuu.............

wew siulisemaga hauitambui azam sasa ni kitu gani kinachokufanya udiscuss kitu usichokitambua
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Baana... Kwanza hii ingekuwa a real forum Kama Nairaland ingekuwa Nairobi vs Dodoma capital to capital ndio tucheke vizuri
yaani we ni empty kweli........eti ingekuwa real forum.....[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

yainyesha ni jinsi gani hata unachokifanya haujielewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…