Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Acheni kudanganya watu hapa. Kwa hivyo unemployment rate yenu iko chini kushinda hata ya US!!? Uzuri ni kwamba huwezi danganya mtu in this era of the internet
Tanzania Unemployment Rate | 2001-2018 | Data | Chart | Calendar | Forecast
hehheheh soma hii official link vzr
😀😀😀😀mm nilijua hamuwez kuamini
munaona ajabu wakat kwenu unemployment rate is 40% yani munaskitisha sana uchumi wote na kazi zote ardhi yote imeshikwa na investors na settlers

Tanzania - unemployment rate 2007-2017 | Statistic
 
Kenya haina wajenzi wakati hata zile three blue towers zenu zote zilichorwa na wakenya!
 
RIP innocent souls. Hayo majengo ya kikenya yana tatizo maana hizi kesi kila mwaka zinajirudia. Ukiyaangalia tu hayo maghorofa yanaonekana kuna shida....
kabisa looking bad & no quality
 
Kenya haina wajenzi wakati hata zile three blue towers zenu zote zilichorwa na wakenya!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] wacha kujihaibisha ......kwa hiyo kuchora na kujenga ni kitu kimoja..?

kuwa serious hebu yatizame hayo majengo yenu kweli unataka kusema yapo kwenye kiwango bora cha kisasa......na yanamuonekano mzuri..?...

jizoom mzee usikurupuke
 
 
wakenya bwana mna fashion za ajabu.... .ila fresh endeleeni namikato ya hatari [emoji2] [emoji2] [emoji2]

from kenya to sobibo
KENYAN BOY
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
hebu angalia hzi ndio nyumba wanaishi binaadamu

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…