Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

huku wenzetu wakenya wakibakiwa na maeneo yale yale yakupost .....yaani hawana new area yakupost pale nairobi picha zao ni zile zile

New area my foot........taja hizo New area chokoraa wa uswazi
 
nasema keta estate za kisumu alaf tuone kama utabaki humu salamaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ is kisumu a city wallah sijapata ona town ya kipuuzi kama kisum

maybe kisumu ya Tanzania mwanza nimefika na haifikii kisumu kwa estates ama malls.....oh na airport pia
 
sianza basi mbona muoga wewe nani ambae hajafika kisumu??? nimepanda mpaka baiskeli taxi kwenda tao hahahhaa vichekesho sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
nasema keta estate za kisumu alaf tuone kama utabaki humu salamaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ is kisumu a city wallah sijapata ona town ya kipuuzi kama kisum

nowadays I only use word with no photos...........I propose you open a thread we wipe the floor with your shanty town of mwanza with a cowshed for an airport
 
nonsense
nenda kapumzike maana naona leo kichwa chako kimepata motoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
sianza basi mbona muoga wewe nani ambae hajafika kisumu??? nimepanda mpaka baiskeli taxi kwenda tao hahahhaa vichekesho sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

you are the one who said uliishi juja and from juja you pass through embu then to Nairobi.....and you want us to take you seriously......hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…